Habari wana jf, Mwenzenu mwaka unaisha cijafakiwa kupata mchumba Naomba sala zenu nifakiwe kumpata mchumba mwaka huu kabla haujaisha ili mwakani nifunge ndoa!
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe...
Siku hizi imekuwa kawaida watoto kuitwa majina kigeni kama Joyce, Jocktan, Mary,John,Abdallah,Mohammed, Yusuphu huku tukiacha majina yetu ya asili yaliyotumiwa na wazazi wetu, haiwezekani...
Mwaka unaisha hivo... pengine mwakani kuna wenye mipango yaku oa au kwa lugha nzuri zaidi kuvuta jiko.
Je, utajuaje kwamba mwanamke ulie kutana nae ghafla bin vu ndio pengine mwanamke wa maisha...
TAMBUA KILA MTU ANA MATATIZO USIONE ANA TABASAMU USONI
Kuna wakati ambao unakuwa na matatizo mengi sana kwenye maisha yako na kufikiri kwamba kama ungekuwa kama mtu fulani huenda usingekuwa na...
Wapendwa hongereni kwa kuona mwaka 2016, Jana nilitoka nyumbani midaa ya SAA NNE unusu usiku, lengo langu ilikuwa ni kuzunguka na kuona mji ukoje na watu wameupokea vip mwaka.
Nilipotoka...
@Preta
@Nifah
@rubii
@masai dada
@miss chagga
@EVELYNE salt
@Apologise lady
Nb: Hiyo list ni kwa mujibu wa halmashauri ya ubongo wangu, kama haitokupendeza tafadhali usilete mate.
#happy_new_year
USIWE ADUI WA MAFANIKIO YA WATU WENGINE
Sisi binadamu ni vigumu kuona matatizo yetu, ila ya wenzetu huwa tunayaona haraka sana.
Kwa mfano watu wawili wakigombana na kila mmoja akaja kukueleza...
Hayawai hayawi sasa yamekuwa!!!
Kijana mmoja mtaa wa jirani amefumaniwa akitoa bikra ya binti wa bosi wake. Imetokea mchana huu ndani ya gari ambayo kijana huyo huendesha.
Mtoto alikuwa geti kali...
Toka 2014 sijamsikia wala kumsoma ila nimesoma mtandao mmoja ''VIKI'' akilalamikiwa kwa sms za kitapeli. Atakuambia ana jambo muhimu uwasiliane nae kwa e mail kisha fix zinaanza, Hajitambulishi km...
Hello guys,
Nauliza hivi coz mara nyingi mwanaume ndo anatakiwa amtokee mwanamke, na most of girls ninaokutana nao (hata kama wako average in terms of looks) wana tons of male fans and friends...
....ni mchizi wangu nlitamani nimtukane kwa hasira
Ilikuwa hiv mchizi alimpenda msichana mmoja hapa kitaa sasa akapiga mishe za kumpata akafanikiwa sasa kitimbwi kikaanza pale yule rafiki yangu...
Nasikitishwa na haya majina nayosikia wadada wanaitwa kila siku; Especially Malaya.
Lunch leo Nimekaa na wanaume wanamsema mrembo flani, mwenye BAHATI ya kuvuta mashine za ukweli, $$$, you...
VITU VIDOGO AMBAVYO VINAWEZA KUHARIBU SIKU YAKO
Mara nyingi huwa tunaruhusu vitu vidogo vidogo sana kuharibu siku zetu. Na sio vitu vile vinaharibu, bali sisi wenyewe tunaharibu siku zetu kutokana...
HAKUNA MTU ANAEJALI MAISHA YAKO ZAIDI YAKO MWENYEWE ACHA KUJISHTUKIA
Kuna wakati ambapo tunajali sana kuhusu watu wengine wanavyojali kuhusu maisha yetu.Tunafikiri kwamba watu wengine...
Kwa asili yetu binadamu hatupendi kufanya vitu vigumu.Na kama inatubidi kufanya basi huwa tunatafuta njia ya kurahisisha kufanya kitu hiko.
Hii ndio imeleta mapinduzi makubwa sana kwenye...
HAKUNA KINACHODUMU MILELE
Moja ya siri kubwa unayopaswa kuijua ili kupata uhuru kwenye maisha ni kwamba hakuna kinachodumu milele.Kama vile ambavyo sisi binadamu hatutadumu milele, siku moja...
Kuna njia rahisi sana ambayo watu huitumia kujiona wao ni bora zaidi ya wengine.
Pamoja na urahisi wake, njia hii ni ya hovyo sana kwani hata inapowafanya wajione wao ni bora bado kiuhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.