Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,750
- 2,279
Habari za leo wapendwa! Naombeni mawazo yenu juu ya hili swala lilikuwa Dogo sasa naona limekuwa tatizo kwangu,
Nina mke na tuna mototo mmoja mototo wetu ana miaka miwili kasoro sasa! Tatizo lilianza kama kidogo kidogo, mwanamke ukiomba kwichi kwichi, anakuwa mkali anatoa sababu Mara kachoka au anajisikia vibaya ukumbuke hapo alikuwa hajapata hata mimba mwanzoni kabisa!
Tukaenda kibishi hivo sometimes mi nalazimisha hiyo hivyo! Akapata ujauzito ndo ikawa sababu kabisaaa! Nikaenda kumwona doctor mmoja aliniambia ni hali ya kawaida kwa mjamzito nimvumilie kweli nikakomaa!
Kwasasa ameshazaa na mototo ni mkubwa bado mgegedo ananizingua, nikaamua na Mimi kususa nikawa nafyatua michepuko tu nikirudi sina hamu, nikitegemea atajirebisha, ajabu ni kwamba usipo taka wewe hata miezi mitatu itapita hana hata dalili ya kutaka dudu! Na hata kama itokea ni round moja tu basi tena!
Nimejalibu kumchunguza pengine ananjemba nje sioni dalili simu yake unaweza kaa nayo hata siku tatu hakuna simu ya ajabu na wala hahofii hata kido!
Nimeongea na mama yake nae eti ananiambia ana jini eti linamfanyaga kwenye ndoto usiku ndo maana hana hamu ananiambia nimpeleke kwa sangoma kutoa hayo mapepo!? Sijaelewana na mawazo Yale kabisa
Sasa jamani mi najiuliza pengine nimtwange talaka 3 atakuwa hanipendi Mimi au kuna njemba wananizidi ufundi au ni tatozo kweli!? Sio Drama jamani ni serious issue!
Mke wangu mzuri nampenda lakini kwa hili nakosa jawabu! Ama kweli "KOSEA NJIA USIKOSEE KUOA AU KUOLEWA" natamini kukaa bachera!!!