Desteo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 494
- 123
Wote tunafanya yaleyale ya kila siku katika maisha. Ukiacha suala la hedhi na kuzaa kwa mwanamke, mengine mengi tuko sawa tu. Sasa najiuliza inakuwaje mwanamke anashindikana kusomeka? Tueleweshaneni namna ya kumjua, kumsoma, na kumwelewa mwanamke bila kuathiri nafasi ya mwanaume.