Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Kama ulikuwa hujui sasa wajua...!
Bata unaeishi naye nyumbani, ana matundu si chini ya matano (5 holes) ndani ya uke (papuchi). Lengo ni kuepusha kupata mimba ikiwa:
1. Ataingiliwa kimapenzi kwa nguvu
2. Ataingiliwa kimapenzi kwa hiari lakini hayuko tayari kupata ujauzito
Kwasababu hiyo basi, dume anaemvamia bata jike kwa nguvu ana nafasi ndogo ya kuingiza uume kwenye tundu lenyewe, kwahiyo muda wote anaweza kuwa akiingiza ambako siko...
Muda huo bata jike tayari atakuwa ameshapata nafasi ya kujihami na kuepusha ufirauni huo.

Last edited by a moderator: