5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,260
- 2,383
Napata shida kidogo nina mpenzi wangu tulitokea kupendana sana lengo hasa ilikuwa ni kuoana tuliishi kwa furaha sana tunachat na tulikuwa tunapigiana simu sana tulidumu kwa karibu mwaka 1 ivi.
Sasa kuna siku aliumwa akaniomba hela za matibabu nilimjibu sasaiv hela sina mana nilikuwa na mjengo na nilimueleza yote lakini nilimhisi hakulifurahia lile jibu, akanitumia sms akanambia ingekuwa hukunikataza kuongea na (X) yaani huyu ni mwaname ambaye nilikuja kumgundua anamawasiliano naye akadai ni rafki yake tu walikutana shule lakini alikuwa na moyo wa kumsaidia mimi nikampiga stop.
Alifanya maarifa mengine akaenda hospital akapona akarudi lakini tunaulizana hali na kumpa pole kila siku.,
sasa nimegundua mawasiliano na mimi yamepungua nikimpigia simu hapokei anajifanya hana mda na mimi nikajuwa hanipendi tena nikamuandikia sms "Nashkuru kwa kuniacha nakutakia kila la heri'' ilipoingia tu hii sms kwenye sim yake pale pale akarespond kwamba sory nilikuwa siwez kupokea wazee walikuepo. bas tena kutoka hapo akajidai ndo sababu sasa nikimpigia tena simu pia anajifanya hana mda.
Sasa jana tulichat nikamuuliza ivi bado wanipenda? akaniambio nakupenda na sina bwana yeyote naomba niamini. nikasema sawa
Lakini sasa tabia yake kutokurudi kama mwanzo mimi inaniudhi sana mpaka nashindwa kustaamili kwamfano saiv yeye haniuliz mpaka mim ndo nimuulize na vi sms vyake vinakuwa vifup sana kwamfano nikimuanidki ''dear mambo vipi'' yeye anajib ''P" ''uko wapi" anajib "hom' au mda mwengine nikimuliza uko wap anaji 'OFC'' nayafahamu haya majibu namhisi mimi nikimuliza yeye ndo anajibu lakin harespond kuniuliza mimi pia.
Najuwa hili jukwaa ni la wataalamu wenye fani hizi nimeleta kwenu munipatie fatwa. Mtazamo wangu mimi nafkiria kuachana naye lakini sitaki nimuache kwa kumuonea nataka niwe nimeridhika kutokana na michango yenu kwamba huyu hanifai tena.
Naomba kuwasilisha.