shashashaa
Member
- Oct 23, 2015
- 44
- 17
Wanaume mlooa jueni kuzihendo ndoa zenu nyie ndio mmekua chanzo cha kuharibu watoto wetu mnaturudia usiku mkiwa mmelewa, mnatutukana mbele ya watoto mnatupiga nk, mtoto hujifunza baya na zuri kupitia kwa Mkubwa, sasa nyie wababa msipo jitambua nakujiheshimu mnategemea tuwaheshimu kwatabia zenu poleni.
Nyie ndio vichwa vya familia sasa mnategemea nani awaendeshee familia zenu nyie ndo chanzo cha watoto wa mtaani, badilikeni mkishindwa basi mtupe sisi heshima ya kua vichwa vya familia.
Nyie ndio vichwa vya familia sasa mnategemea nani awaendeshee familia zenu nyie ndo chanzo cha watoto wa mtaani, badilikeni mkishindwa basi mtupe sisi heshima ya kua vichwa vya familia.