Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,219
- 689
Mimie ni binti wa miaka 23, mpenzi wangu ana umri wa miaka 35, wote ni waajiriwa Halmashauri mwanzoni mwa mwaka huu, tulianza mahusiano mwanzoni mwa mwezi wa 8,malengo yangu ni kujiendeleza mwakani na shahada hivyo sipendi kuzaa wakati huu kwani nina malengo makubwa badae, mpenzi wangu kwa kigezo cha umri kwenda bila mtoto na pia kwa kuzidiwa na wadogo zake kuwa na watoto kuanzia wawili na kuendelea anaona aibu na kuning'ang'ania nimzalie mtoto vinginevyo tunaachana.
Msaada jamani, nifanyeje na mie bado nampenda ila na shule ni ndoto yangu muhimu.
kwa sasa tuko elimu sawa.
Msaada jamani, nifanyeje na mie bado nampenda ila na shule ni ndoto yangu muhimu.
kwa sasa tuko elimu sawa.
Last edited by a moderator: