silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,623
- 2,380
Wakuu naomba kuuliza, kugegeda na kupiga bao moja kila siku au kila baada ya siku moja, na kugegeda ukapiga bao tatu au tano ikisha ukakaa wiki au mwezi ndo ukagegeda tena, kiafya ipi bora hususan kwa sisi watu wa mishe mishe. Shukran