Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna njia rahisi sana ambayo watu huitumia kujiona wao ni bora zaidi ya wengine. Pamoja na urahisi wake, njia hii ni ya hovyo sana kwani hata inapowafanya wajione wao ni bora bado kiuhalisia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana nawasalimu kwa jina LA Mungu Muumba mbingu na dunia. Km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, huyu baba ana mke na watoto wa tano wa mama tofauti tofauti, mke wake wakwanza...
2 Reactions
76 Replies
15K Views
Kupima UKIMWI ni vizuri kufahamu afya yako ikoje.Kuna sababu gani kuongozana na wapambe kwenda kupima mimi na mpenzi wangu kabla ya harusi? Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana,tunalazimishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jf wenzangu, me napenda kuuliza hivi ni kwa mini asilimia 99% wanaoenda nyumba za kulala wageni au geust ni wake za watu na wanaume za watu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo zenu wana mmu Hili neno linanitatiza, mtu akikuambia" I love u" unatakiwa umjibu vipi? kiukweli mimi huwa nashindwa kujibu. Naombeni majibu yenu tafadhali
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Nmekaa muda sasa wa miaka miwili bila relationship,huku nikitafakari,jinsi maisha yanavyotakiwa kwenda,pamoja na kufanya maendeleo binafs. Back to the topic,niliwah kuwa kwny mahusiano na dada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
From my previous post naonekana kama na-pretend ila its serious. Mimi sio mwana jamii forum nmejiunga kwasabbu ni moja wapo ya sehemu niliambiwa nitapata majibu. Tatizo langu ni kwamba na...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamaa ana miaka 29 anaitwa Kaydine Colleman Raia wa Marekani amekuwa mmoja kati ya Wanaume walioshika mimba na kujifungua. Taarifa iko hivi, alizaliwa akiwa mwanamke aliyetimia kabisa na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zen wana jukwaaa. Hope mwaka vizuri. Kwa upande wangu naona nina kamkosi Wanawake watatu waliopita kila tukiachana tuu ndani ya miezi kadhaa wananiambia kuwa wanaolewa sasa nashangaa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wadau! Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? Au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao? Hebu cheki huyu mtoto...
5 Reactions
127 Replies
27K Views
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
WANAUME TUNATIA AIBU SANA WAKATI MWINGINE HEBU TUJIREKEBISHE Mwanaume mmoja hapa mtaan kwetu aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za shamrashamra za Xmass wanaMMU. Kama heading inavyosomeka. Siku hizi mtu ku engage katika mahusiano na mke wa mtu imeonekana kuwa dili kuliko kwa msichana/mwanamke ambaye hajaolewa...
1 Reactions
109 Replies
21K Views
Mwaka 2015 huooooo unaisha na leo natamani kuyazungumzia kulingana na kichwa cha habari cha mada hii. 1)TAFUTA MKE AU MUME Hii itakuwa msaada wa kukujengea heshima ndani na nje ya jamii yako ila...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Tuanzapo mahusiano tunamini huyu sawa na yule lakini rahasha ebu tukipata wapenzi tutulie hata tukigundua mwenza wetu hawajatulia basi sisi tutulie tujikinge tu na maradhi mwisho wa siku nao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yaani wanapokuwa sita kwa sita sijui akili zao zinaendaga wapi maana huwaga hawakumbushii suala la uvaaji wa kinga hata kama hajui status ya boy wake. Mi imenitokea kwa mademu kama watatu hivi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi? Maana maadili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016) Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom