Asante Mungu kwa kuniepusha na huu mchepuko....!

Bado sielewi. Akati umekaa rum c ulikuwa unamtegemea. Sijaelewa alivyokuja kilikuvurumisha nini ulichooona....
 
Raha ya nyuzi kama hizi ni kuchangia huku tunarusha madongo,sasa mtu mwenyewe ushaweka mkwara hutaki madongo.
Basi mi sichangii!!.
 
Hivi sio wewe juzi kati ulikuwa unauliza kama unaweza kupata mchumba wa kuaminika kwenye mitandao ya kijamii? Tena ukasema umewapata wapenzi wawili ila huja - duu nao bado mmh...
 
Daaaah...mkuu kama unayo hiyo kitu hebu itupie hapa!!.
 
Hivi sio wewe juzi kati ulikuwa unauliza kama unaweza kupata mchumba wa kuaminika kwenye mitandao ya kijamii? Tena ukasema umewapata wapenzi wawili ila huja - duu nao bado mmh...
Sasa umeambiwa natafuta mchumba??? Niliuliza km possible..! Samaki mmoja akioza siyo utupe wote. Na huu ni mchepuko.
 
Eeh nimeshangaa kwa sababu Ulisema katika wale wapenzi wawili wa mtandaoni, mmoja wapo utamuaward ndoa, kumbe Sikujua kama una mchumba mwenye intelijensia tayari. Nisamehe tu bure mwee
 
Hahahah..! Possibly mmoja akawa wao au hutaki...????
 
Wakuu achaneni na wanawake wa mitandao kama hamuwajui itakuja kula kwenu asee mi mwenzenu nishaachaga labda nipate ninayemfahamu,,,,!!
 
@KATASAN'KAZA bora hukumkaza huyo mchepuko epukana sana na tamaa za kimwili hali ilivyo ni mbaya maradhi kila idara haswa kwa hiyo kauli yako ya kupekua kwa mademu wazuri.
 
Acha mkuu ni hatari sana! Nimepata hasara ya elfu 20000 plus transport 10000
 
@KATASAN'KAZA bora hukumkaza huyo mchepuko epukana sana na tamaa za kimwili hali ilivyo ni mbaya maradhi kila idara haswa kwa hiyo kauli yako ya kupekua kwa mademu wazuri.
We acha tu mkuu roho ilikuwa inanidunda navutwa huku na kule kuacha na kumkaza...!
 
Back
Top Bottom