Mambo madogo madogo 30 yavunjayo ndoa

SANGAPIPI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
206
301
Mambo madogo yavunjayo ndoa.
1. Ulevi
2. Umbea
3. Pedi chafu kutupa uvunguni
4. Umaskini
5. Uvivu
6. Ulafi
7. Wizi
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya bila kufunga mlango (self room)
10. Ubahili
11. Kunuka pumb....(boxer)
12. Kunuka kwapa
13. Kuacha manywele kwenye chanuo la mme
14. Ubishi
15. Uongo
16. Uzurulaji
17. Upagani
18. Cm chating
19. Uvaaji wa kihuni
20. Ushabiki wa mpira ulopitiliza
21. Kukaakaa uchi pasipo sababu
22. Kutokujali
23. Pafyumu mbaya
24. Msomgamano wa watu kuriko ukubwa wa nyumba.
25. Gubu
26. Ushamba ulopitiliza
27. Majibu ya mkato
28. Ubize usio na maana
29. Umaarufu wa kijinga
30. Kusifia watu wengine
Hizo tabia zinavunja sana ndoa kimzahamzaha
UFAFANUZI
Miongoni mwa mambo madogo madogo machache hapo Juu,mtu mke/Mme anapokuwa anayatenda, hudharau akijua hayana madhara, ila kwa mtendewa huvumilia kwa masononeko ndani ya nafsi kiasi kwamba hisia za kimahaba humtoka taaratibu,pengine mengine hufikia kujihisi hathaminiwi,hana maana,Hafai n:k kitu ambacho humfanya atafte upendo/Furaha nje kwa jamaa na marafiki, na endapo atapewa huduma bora kuliko yako, hapo ndo hutamkamata tena, utaanza kulalama tu OOH MKE/MME WANGU AMEBADILIKA,SIMWELEWII....Kumbe chimbuko ni vijitabia vidogo vidogo na vya kijinga kabisa uvifanyavyo ndio vilivosababisha
 
Yote hayo yanavumilika na ukimueleza mwenzio ataelewa na kubadilika. kinachovunja ndoa ni UMALAYA... Hasa kwa wanawake.. Ni ngumu Sana kumvumilia mwanamke malaya.[/QU
Umalaya wake una chanzo chake, chunguza na hilo ndo tatizo lenyewe
 
Yote hayo yanavumilika na ukimueleza mwenzio ataelewa na kubadilika. kinachovunja ndoa ni UMALAYA... Hasa kwa wanawake.. Ni ngumu Sana kumvumilia mwanamke malaya.

Umalaya wake una chanzo, ukichunguza utajua, na hilo ndo tatizo lenyewe
 
Yote hayo yanavumilika na ukimueleza mwenzio ataelewa na kubadilika. kinachovunja ndoa ni UMALAYA... Hasa kwa wanawake.. Ni ngumu Sana kumvumilia mwanamke malaya.

leo ametaja mambo madogo madogo tu, je umalaya ni jambo dogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom