Cereal Killer
Senior Member
- Aug 17, 2015
- 131
- 55
Habari wakuu
Mimi nina kaka yangu(sio wadamu) .sasa huyu kaka yangu ameoa tena anasema mke wake alimfukuzia for 3 years kabla ya kukubali na kumuoa tena alimkuta bikra na anampenda sana.
Sasa tatizo la huyu jamaa ni malaya sana tena sana yaani sijaona mfano,kwake kuzini nje ya ndoa ishakua kama kawaida,anatembea mpaka na malaya na anaweza hata akakopa ela akamfata mwanamke nje ya mkoa huku ana mke,mimi hua anansikitisha sana,nishajaribu kumwambia anaishia kuniambia mimi udhaifu wangu ni wanawake.
Na hua inamcost kifedha sana plus mikosi kibao lakini hakomi na anajua hasara anayopata ila hajifunzi,maskini mke wake ni mstaarabu na mwenye dini ila yeye dah mi mpaka namuonea huruma wife wake.
Yaani mi binafsi sifurahishwi hata kidogo na natamani abadilike,je naweza nkamsaidia vp huyu kaka?