Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,041
- 39,986
Happy new year MMU ladies and gentlemen. On my side I give Glory to God for keeping me safe and sound to this 2016..... hopes you too.....
Kasie this time alizongwa dakika za mwisho kabla hajaanza likizo na kuamua kwenda kupumzika kwa madiba's land aka South Africa specific Cape Town and Pretoria. For those two weeks nimekuwa nikizunguka na kutembea in Pretoria and Cape Town.
Siku ya pili tangu nitue madiba's land hapo hotelini nilipofikia wakati napata breakfast nikamuona mdada mmoja akilia baada ya maongezi marefu ya simu. Nilijua mtanzania baada ya kusikia maongezi yake.
Heey sikuwanimemfatilia na kusikiliza maongezi yake, it happens nilipo huku chai yangu nikakaa meza ya nyuma yake hivo bila kumfatilia nilijikuta Nasikia kila alilolizungumza.
Kilichotokea ni hivi.........
Huyo mdada anaitwa Anna ni mtanzania anaishi Dar na ni mtu wa Kigoma kaolewa anawatoto 2. Mume wake ni mtu wa kanda ya kasakazini na ni mfanyia biashara. Binti ni muajiriwa wa shirika la umma.
Ilibidi nimfate niongee nae maana Utu uzima dawa ndo akanilezea. ......
Ameolewa huu ni mwaka wake wa 4 na anahisi amechoka au amepoteza na life style. Nikamuuliza kulikoni mume muhuni? Akasema alikutana na mumewe mara ya kwanza kwenye ndege wote wakiwa abiria, binti amezaliwa town na wazazi wake wanaishi town DSM mumewe alizaliwa kanda ya kaskazini kijijini kwao ila alisoma mjini DSM na hata sasa wanaishi Dar maana biashara zake anafanyia Dar. Wazazi wa mumewe au wakwe wanaishi kijijini kwao huko kanda ya kasakazini.
Kilichomkera safari hii ni kuwa Anna alimuomba mumewe likizo hii na sikukuu hii waende South Africa kutembea na watoto badala ya kwenda kijijini kwao mwaka wa 5 huu maana alishaanza kwenda tangu wako wachumba. Mumewe alimkibalia na akamwambia fanya booking kata ticket na alimpa hela ya kufanya yote hayo hadi booking ya hotels. Kufika msimu wa sikukuu mumewe kashusha gari mpya Prado New Model na kumwambia waende kijijini kwa mumewe kwanza wakale xmas na mwaka mpya kisha pas aka ndo waende South. Anna akishangaa mbona nshalipia vitu vingi pesa itapotea bure mumewe akasema haina shida pesa ipo na kweli pesa mumewe anayo.
Akamkatalia mumewe kuwa lazima waende South Africa mumewe nae akabisha lazima waende kijijini akitaka aende mwenyewe South na akirudi ajijue pa kufikia.
Tarehe 22 mumewe ndo aliondoka kwa gari na watoto kuelekea kijijini kwa mwanaume na Anna aligoma kuondoka akabaki nyumbani. Tarehe 23 akaamua kuondoka kwenda South Africa kufika huko ndo mumewe akawa anamwambia ukirudi utafute pa kufikia.
Anna a bado anampenda mumewe na watoto wake ila ni kuwa amechoka one direction vacation. Alikuwa anaongea huku analia nilimsikiliza vizuri. Analalama ukienda ukweni huwezi kupumzika unakuwa busy kuliko hata ukiwa kwako. Kutwa kuishi kwa kujishuku wasijemuona mvivu au hana ukarimu. Mbaya zaidi anaendaga kijijini kwa mumewe na house girl ila huwa mama mkwe anamuomba apike. Jiko ni la kuni hadi mboga na ugali viive unakuwa na macho mekunduu utasema una red eyes na mafuta juu. Anna anasema anajitahidi kwa miaka yote 4 ku cope na mazingira ya kwao ila alihitaji sikukuu hii apumzike matokeo yake mumewe alimhadaa.
Saa ingine anasema utakuta kuni mbichi au hazijakauka vizuri wanamuachia anahangaika mwenyewe jikoni anakohoa weeh hadi makamasi yanachuruzika na machozi ya natoka basi tabu tupu.
Baada ya kumsikiliza nikajikuta nawaza haya......
Ni vema kabla hujaolewa au kuoa kuangalia mwenzio kwao wakoje? Jee utaweza kuishi kwao for life au baada ya kustaafu?
Ni vema kama umezaliwa town hata kama si kabila lako ila uolewe au uoe mtu ambaye kwao au wazazi wake nao wanaishi mjini ili muendane mazingira ya nyumbani.
Ile ya zamani ya kuonana kabila hilo hilo ingepunguza hii maana likizo wote mnarudi mkoa mmoja na tabia au culture zinafanana hivo hupati shida ya kujifunza tabia zao.
Kabla hujanpenda zaidi mtu angalia miaka 10 mbele ntaweza kuishi nae? Hii itapunguzawatu kuachana kama ambavyo Anna anataka kuachika maana anasema kachoka kujifunza ya kaskazini tuu wakati kwao Kigoma hawajawahi kwenda.
Anna alitangulia kuondoka kurudi Dar kabla ya mwaka mpya huku nyuma sijui kiliendelea nini.....
Kasie.
Wewe waonaje?

Last edited by a moderator: