Mrejesho: Nipo njia panda

BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
6,534
11,001
Heri ya X mass wadau wa jukwaa pendwa la MMU.Tarehe 20 ya mwezi huu nlileta mada hapa jamvin ambayo ni hii

icon1.png
Niko njia panda

Habarini za wekend wadau,

Naombeni mnisaidie kimawazo.umri wang ni miaka 24 ni muajiriwa serikalin huku Dodoma, wilaya ya Mpwapwa,lakini home ni Iringa nina girlfriend wangu ambaye yupo chuo cha RUCO kilichopo iringa, nmedumu naye takribani mwaka mmoja na nusu, ingawa tumepitia changamoto nyingi sana lakini tumeweza kudumu pamoja na hatimaye kusonga mbele.

Siku ya tar 17 alinipigia simu kunijulisha kuwa tarehe 18 ambapo ni siku ya ijumaa ana TEST,,hvo akimaliza hyo test ataangalia utaratibu wa kusafiri ingawa chuo kinafungwa tar 23, aliniambia kuwa atafanya hivo kwa sababu hakutakuwa na mishe yoyote, hivo akiendelea kubaki hapo ataboreka.

Mimi nikaridhia, siku ya jana jioni akanijuza kuwa kesho ambapo ni leo kuwa atasafiri kama alivonijuza mwanzoni na aliniambia kuwa ataondoka na gari ya sa 12, akaniambia kuwa anaenda Dar es salaam kusalimia ndugu ila kwao ni MOSHI mimi nikaridhia, nikamtakia safari njema mida ya saa nne tulifanikiwa kuongea zaidi na kutakiana usiku mwema. PICHA NDO IKAANZA KULIVO KUCHA.

Nlipanga niwah kumuamsha ili awahi hyo gar ya sa 12,lakini nkajikuta nmepitiwa na usingizi.nmekuja kuamka baada ya sa 12 asubuh,ambapo nlishangaa kutokukuta sms wala call ya kunijulisha kama kaondoka ama la.nliamua kumtumia text, kumuomba samahan nanukuu SAMAHANI NMECHELEWA KUAMKA, NLIPITIWA NA USINGIZI HVO KUSHNDWA KUKUAMSHA KWA WAKATI ILI UWAHI GAR, ikapokelewa lakini haikujibiwa nikaamua nitume tena text ya kumtakia safari njema, nayo ikapokelewa lakini haikujibiwa nkaendelea kuvuta subira mpaka mida ya sa tano,lakini bado alikuwa kimya.

Nikaamua nimpigie simu, nimejaribu kama mara 20 kwa kutumia namba yangu ya voda, naambiwa namba busy nikahisi kuwa AMENIBLOCK lakini nikapuuza hilo wazo,nikaamua nitumie tena namba yangu ya Tigo lakini nlipata matokeo yaleyale nliamua kujipa moyo na kuamini kuwa wenda anaongea na simu nyingine nikawa natuma tu sms zinaonyesha deliverd lakini hazijibiwi.

Nimekaa saa moja na nusu nimemtafuta tena lakini matokeo ni yaleyale nikaamua kuingia WHATSAPP nikaangalia namba yake anayotumia humo wasap ambapo mara ya kwanza ilikuwa inaonyesha last seen,status pamoja na profile picture lakini vyote hivo havionekani saivi nikawa bado siamini kuwa AMENIBLOCK ghafla likanijia wazo,la kutaka kufanya confirmation,binafsi wasap natumia namba ya tigo sijawahi badili namba na yeye anafahamu hivo, niliamua kwenda kwenye account yangu ya wasap na kubadili namba, nikaweka namba ya voda halafu nikarefresh nikarudi tena kuangalia ileile namba yake anayotumia wasap maajabu ndugu zangu, nikakuta profile picture ipo kama kawaida na last seen inaonyesha ni saa nane na dkka 50 mchana huu hakika nmejikuta natetemeka,na sijataka kuliamin hili tukio nmekuja kuhakiki kuwa hata namba yangu ya wasap ameiblock pia.

Nisaidieni kimawazo ndugu zanguni, nifanye nini maana kiukweli nashndwa kuamin sijagombana naye zaidi ya changamoto za kawaida katika mahusiano pia sijaelewa kama kasafiri ama laa

YALIYOJIRI

Siku ya jana ya tar 24 mida ya jion yapata sa 12.huyu mtu binti alinibipu...ndpo nliamua kumpigia.maana kusema ukweli,nlizingatia sana ushaur wenu mlio nitaka nisimtafute mpaka yeye atakapo nitafuta.Alipokea cm akiwa na furaha kubwa sana,wala hakuniomba radhi ila akanijuza kuwa lililotokea lilikuwa ni suala lisilo epukika,ilibid aniblock ili nisimuharibie mambo yake,akiwa anaongea kwa kujiamin binafs nlikuwa nmebaki natetemeka nisiamin ninacho kisikia kama ni kweli kinatoka kwa huyu binti ambaye namfahamu na ambaye tumekuwa tukisaidiana katika shda na raha...nkamuuliza,uliogopa nisikuharibie nn?

Akaniambia kuwa,kabla hajawa na mm alikuwa na boy wake ambaye walipendana sana,ila baadae walitofautiana kiitikadi ndpo wakawa separated..akaniambia kuwa siku ananiaga kuwa anaenda kwa ndugu zake Dar,haikuwa hvo ila badala yake huyo ex wake alimuomba wakutane Dar ili wamalize tofaut zao na hatimaye wapate suluhu.ndipo wakakubaliana na ndpo alipo ondoka..na kabla ya kuondoka ndpo alipo amua kuniblock kila sehemu ili mm nisije haribu hyo meeting yao...kwa muda wote binti akiwa anaelezea,alikuwa anaongea kwa kujiamin sana kuliko kawaida.

Mwisho,akaniambia kuwa wamekubaliana kurudiana na hvyo kuanzia huo muda wao ni wapenz tayar,na akaniambia kuwa tangu hyo jumapil ameenda dar,walikuwa wote na ck ya jumatano ndo alienda huko kwa ndugu zake.nlikuwa nahis kutetemeka zaid na nisiweze kuongea lolote,,ila nkajikaza na kuamua kuuliza.vp sasa kuhusu mm na wewe? akaniambia kuwa kaz ni kwako ila mm nmeshakuambia ukweli,na akaniambia pia kama ninahitaj niwe kama mchepuko wake,yeye yupo tayar ila nkae nkijua kuwa ana mtu wake tayar for future...nkamuambia sawa nmekuelewa ili nami nipate nafas ya kutafakar ndpo nkujibu....mpaka sasa hatujawasiliana na kiukweli binafs nmeamua tu iwe mwsho wa uhusiano;sihitaj kuwa mchepuko....asa nmekuja kwenu ili mnishaur..je,nmpotezee kimya kimya? au nami nmuambie kuwa sihitaj kuwa mchepuko na badala yake naye achukue 50 zake? nichaurini jinsi ya kuamua katika hli suala....ila inauma sana ndugu zanguni,omba usikie kwa mtu.,yakikukuta unahisi kuchanganyikiwa,yaan kila kitu unakiona sio cha muhimu kwako,,,yaan haya maumivu nayopitia ni zaid ya kufiwa...nkikumbuka nliwekeza kila kitu kwake,muda,akil na kadhalika....

Natanguliza shukrani zang za dhat kwenu nyote.....karibuni
 
Pole kwa yaliyokukuta mkuu!
Kumwambia au kutomwambia it doesn't make a difference you just need to move on
 
Pole sana mkuu, move on ila be careful hiki kipindi unachopitia ndo huwa rahisi kufanya maamuzi mabovu, anza kuhudhuria kwenye maombi Mungu atakufunulia njia nyingine ambayo haitakuumiza kama hii.
 
Ahsante sana mkuu,pia shukrani sana kwa ushauri wako
 
Muache Aende kwa Amani.. Usionyeshe kumuhitaji wala kuwa na shida nae.. Binti hakufai na Sio Mwanamke wa Maisha yako
 
Pole sana,Imekuwa vyema amekuambia ukweli japo unauma sana...Move on na uwe makin kwa iki kipind cha mpito.Kila jaribu mungu akupalo anajua una uwezo wa kulishinda....so be careful na pole sanaa
 
Tatizo bwana LA sisi wanaume ni hili. Baada ya haya yoteeeee kesho au kesho kutwa atakuja na kusema alifanya mistake na kwamba umsamehe. After all this pain utakubali na mtarudiana.

Nimecheka sana Leo. Kuna mtu kanitumia picha ya dala dala imeandikwa ;

Moyo kazi yake ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere.

All I am saying ni kwamba mambo kama haya hutokea ili uone unaedhania ndiye sie. Huwa ni fundisho lakini mwisho wa siku utakuta anakuja kwako anajiliza anaomba msamaha na atalala hapo kwako na zaidi utamdo kavu kavu. Wanaume sisi. Ahhhhh
 
Kata mawasiliano na yeye ila ikitokea akaileta mwenyewe wewe sulubisha halafu tupa kule mradi viroba vya ndomu kwa wingi. Kila akiibuka na taim unayo sulubisha tu ila usimtafute wewe hata siku moja; pata kifaa chako kipya songa nacho, ila akijigonga mpatie kipondo halafu kachekee bafuni
 
Pole sana,usikubali kuchepuka,kaa utulie ,potezea wazo ktk biashara,mazoezi,michezo ,elimu au shughuli nyingine,maana tayari kaonyesha kuwa sii mke mwema,akiwa na wewe,atakuwa na jamaa kesho,zingatia hayo,Xmas njema
 
kipindi kama hiki kwa mwanamke hujiingiza kwa nguvu kukomoa matokeo yake anazalishwa na kutekelezwa sasa Wewe Mkuu muwazie mapungufu yake kichwan kwako usiwaze hata kdogo mazur yake jitukane kwamba MTU amenisalit Alaf nataka niendelee nae haiwezekaniii m mkali kuwa makin unaweza jikuta unagonga sana na kusahau ukimwi tulia tafuta dem mkali zaid yake uliyekuwa unamwona anamzid PGA saund utasahau yooote
 
Nmekusoma mkuu
 
Shukrani kwa ushaur mkuu
 
Pole sana,usikubali kuchepuka,kaa utulie ,potezea wazo ktk biashara,mazoezi,michezo ,elimu au shughuli nyingine,maana tayari kaonyesha kuwa sii mke mwema,akiwa na wewe,atakuwa na jamaa kesho,zingatia hayo,Xmas njema

shukrani sana kwa ushaur ndugu
 
Tatizo bwana LA sisi wanaume ni hili. Baada ya haya yoteeeee kesho au kesho kutwa atakuja na kusema alifanya mistake na kwamba umsamehe. After all this pain utakubali na mtarudiana.

Nimecheka sana Leo. Kuna mtu kanitumia picha ya dala dala imeandikwa ;

Moyo kazi yake ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere.

All I am saying ni kwamba mambo kama haya hutokea ili uone unaedhania ndiye sie. Huwa ni fundisho lakini mwisho wa siku utakuta anakuja kwako anajiliza anaomba msamaha na atalala hapo kwako na zaidi utamdo kavu kavu. Wanaume sisi. Ahhhhh

Nmekusoma broo,cto ruhusu hyo hali kwa kweli
 
Back
Top Bottom