ADVICE TO MEN (GUYS):
Dear men,
1. Having many girlfriends does not make you a man. It only makes you a womanizer and a cheat and a boy.
2. A real man has only one woman in his life.
3. For...
Najiuliza sipati jibu. Nadate wamama watatu kwa wakati mmoja.
Kila mmoja anajifanya ananipenda sana, wananiganda sana kila mtu kwa wakati wake. Kila mtu anajifanya ananijali sana.
Sio mimi tu...
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu...
Habari za leo wapendwa wa jukwaa pendwa kabisa,
Heri ya mwaka mpya kwenu wakuu! Hongereni kwa kufika mwaka 2016 salama, kama umefika na vikwazo au matatizo kama mimi jipe moyo.
Hizi ni salamu...
Maana roho mbaya huwavuvia kinamama wa kambo na kuanza kumtesa mtoto asie mzaa yaani wa mumewe hadi Kumnyima chakula n.k.hii roho hutoka wapi na tunaamini wanawake wana huruma?
Bwana wangu na mimi tuko kwenye mahusiano ni mwaka wa 3 sasa. Tulikubaliana tangu mwanzo hatutofanya hayo mambo mpka ndoa. Hivi karibuni amekuwa akinipressure na hataki kuelewa kuwa siko tayari...
Hi
Kuna hii tabia ya muda mrefu na iliyoota mizizi ya wanaume kuomba namba za wanawake ovyo
Unakuta upo kwenye dala dala let say mmekaa kiti kimoja, utashangaa baada ya salaam tu mtu...
Mwanamke anaweza kumuacha Mwanaume mwenye VISION nakumfuata mwenye TELEVISION lakini ipo siku atamuona mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake.:cool:;)
Wanaume tumetofautiana kama ilivo wanawake hivo mapungufu ni mengi. Kama ilivo kawaida huwezi kukosa wanaume wanaopiga wake zao kwasababu zozote wengine mingumi wengine viboko hata humu JF najua...
Wakuu nimemkumbuka mke wangu wa zamani Bantu lady long time sijamwona.
Mwenye taarifa zake anijulishe nahitaji tu kumsabahi nimemiss tabasamu lake matata.
Mke wangu wa sasa charty hana nongwa...
Ni kama aina fulani ya hallucination au fashion fulani kupenda kuolewa au kuoa au kuoana na mtu wa taifa fulani hasa wazungu atu wengi hasa kinadada wanawazimia mno wazungu nk ili tu kupata half...
USIJIDAI MJUAJI ULIZA UNAPOKWAMA
Tulipokuwa watoto, chochote ambacho tulikuwa hatujui au hatuelewi, tulikuwa tunauliza.
Na wala hatukuona aibu kwamba tutaonekana hatujui.Tuliuliza bila ya kuwa na...
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae...
Sijui kama ushawai fall in love ile haswaa..
Yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu.
Akikuita tu "my love"unajisikia tu...
1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!!
Tuhurumie Baba
2. Ako na furushi la nguo kwa nyumba lakini hanaga kitu ya kuvaa mkienda mahali!!
Tuonekanie...
Mnapokuwa bado warembo na chuchu zimesimama kama kifuu cha nazi mnakuwa na dharau sana tena sana, wanaume wanapokuja kuwachumbia mnawachambua kama karanga, mwisho wa siku mnaangukia pabaya na...
Wanajamvi,
Amani kwenu na heri ya mwaka mpya 2016.
Hii ni post yangu ya kwanza hapa kwa mwaka huu wa 2016. Kufanya hivi ni kuthibitisha pia kuwa bado nipo. Matumizi haya ya id fake unaweza...
HUWEZI KUDHIBITI KILA KITU, ACHA MAISHA YAENDELEE
Kila mmoja wetu anapenda kudhibiti vitu. Kuwa na uhakika wa kile anachofanya au anachotarajia kufanya. Kila mmoja angependa kujua na kuwa na...