Ee MUNGU Baba turehemu na hawa viumbe

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!!

Tuhurumie Baba

2. Ako na furushi la nguo kwa nyumba lakini hanaga kitu ya kuvaa mkienda mahali!!

Tuonekanie Baba

3. Anakasirika ukikosa kumtumia text ya good nyt lakini yeye akikosa we unafaa ku understand!!

Waelewe Baba

4. Ako na viatu pair kama 50 lakini hanaga viatu za kuvaa akienda church!!

Mungu wasamehe

5. Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tano na unafaa kumngoja hizo masaa zote!

si kupenda kwao Baba

6. Akienda salon anakaa kutoka asubuhi mpaka jioni na unafaa kumngoja pia na usilalamike!!

Tupe moyo Baba

7. Ako na mafuta different ya kujipaka mikono, shingo, kisogo miguu mpaka kisigino!!
Mungu ni wewe uyajuaye haya

8.Mnaachana asubuhi akiwa na furaha,na ukirudi jioni amenuna hataki hata kukusalamia,

tupe uvumilivu bwana.

9. Anatry kumatch nguo na earrings na akiona hazifanani anatoa nguo instead ya earrings....

teremka uwashike na mikono yako baba..

10.Mkitembea kwa rodi unakaa side ya baro ndo asigongwe na gari.wwe ukigongwa haina noma,

weka roho yetu mahali pema peponi baba.
 
men-waiting-for-women-shopping-2.jpg

Kuwa mpole tu....
 
Kwenye Biblia ;

Mungu alishasema tuishi nao kwa akili....

Am not scared!
 
Ha ha ha nimecheka sana aiseee, lkn ndo hivyo wameumbwa kwa ajili yenu, ni nyama ktk nyma zako Na mifupa ktk mifupa yako
 
Wanapenda kuona tukipendeza ila hela hawataki kutoa
Wasamehe eeh baba

Wakitoa elf 50 thread 10 jf
Wahurumie bwana

Kutuhudumia hawataki tukihongwa kwingine ni ngumi
Bwana we wajua kwanini tuyapitie haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom