Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Mnapokuwa bado warembo na chuchu zimesimama kama kifuu cha nazi mnakuwa na dharau sana tena sana, wanaume wanapokuja kuwachumbia mnawachambua kama karanga, mwisho wa siku mnaangukia pabaya na kujikuta mmezalishwa na kutelekezwa na au kuambukizwa HIV na kisha mnapoteza kabisa dira.
Mkishakuwa skrepa chuchu zimekuwa kama ndala na wengine mnameza vidonge vya ARV ndo mnajifanya wastaarabu na eti mmeokoka, sikatai mtu kumrudia muumba wake pindi amelikoroga maana Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi, hapo si vibaya.
Mnachokera ni ile tabia yenu ya kutafuta kuolewa wakati mnalea watoto wa wanaume wengine na wengine mnabwia ARV, usichana wako umeula pekee yako tena kwa kiburi bila ya kusikia la mtu, umekuwa bonge la skrepa eti Unataka uolewe sasa, nani aanze maisha na skrepa? mbaya zaidi mnashinda makanisani eti mnamwomba Mungu ili awape waume, mlikuwa wapi wakati mmechanua? Baada ya kunyauka ndo mnaanza kumsumbua Mungu, huo ni usumbufu kwa Mungu usio na kichwa wala miguu.
Mungu alikuumba ukiwa bora kabisa ukajichakaza kwa upuuzi wako halafu yeye akusaidieje? Endeleeni kumwabudu muumba wenu hiyo ni haki yenu lakini tabia yenu ya kujidanganya eti mtaolewa hapo imekula kwenu, mtazeeka mkiwa wasimbe, No way! hakuna kijana wa leo aliye tayari kulea mtoto wa mwanaume mwenzake labda wazee hapo sawa.
Na kwa wale walio safi bado endeleeni kujitunza hadi siku ya ndoa na msikubali kuonjwa.
Huu ni ujumbe wangu kwenu kwa huu mwaka mpya.

Last edited by a moderator: