Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Take Time To Know Her" I found a woman I felt I truely loved She was everything I'd ever been dreaming of But she was bad, I didn't know it Her pretty smile never did show it All I knew is what...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Habari wadau, Mimi nna mke wangu now tuna miaka nane na mtoto mmoja, tatizo mke wangu huu ni mwezi sasa yeye akitoka kazini ni kulala nikirudi au tukirudi wote yeye break ya kwanza mi nipo...
2 Reactions
107 Replies
17K Views
Wakuu salama, Kipindi nipo form five,nilipata demu mmoja hivi tulie kuwa tunalingana nae hakika tulipendana sana. Baada ya kumaliza form six sote tulifaulu, tukawa tumechaguliwa chuo, lakini...
1 Reactions
171 Replies
19K Views
Ni mke wa mtu kila mara anazokuja kuonana na mimi hunambia mumewe anawivu sana tena sana ni vigumu kunipa namba yake ya simu juzi amenunuliwa line nyengine na mumewe atumie ile ya zaman imekatwa...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu salama. Kama kichwa cha habari kinsvyosomeka hapo juu,nilikuwa nahitaji pata ufahamu juu ya wivu. 1.Chanzo cha wivu ni nini?. 2.Kwa nini watu wengi hasa wapenzi wanaoneana wivu?. 3.Kwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Za mliko?? Mimi sina mengi zaidi ya kuuliza Swali moja tu. Hivi wanawake au mabinti walioko kwenye ndoa au wanaofaa kuolewa wana sifa gani hasa?? Mana...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Habareee! Nadhani mpo poa wakuu naomba kuona michango ya watu kidogo juu ya hili la socialization. Hivi ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza ni kipi unapenda agundue kutoka kwako labda ni mpenzi...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Habar zenu wanajf, Leo nilikuwa nachart na rafiki yangu mmoja aliyeko nje ya nchi,katika maongezi yetu akaniambia kuwa kapata mchumba Tz nikamwambia akanitajia jina nikalifananisha na la mpenzi...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Twin prostitutes, 70, retire from being full-time sex workers after sleeping with a combined 355,000 men during their 50 year career. The senior citizen call girls successfully worked Amsterdam’s...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KABLA HUJAMNYOOSHEA MTU KIDOLE, KABLA HUJAMLAUMU MTU, KABLA HUJAMLALAMIKIA MTU, JARIBU KUVAA VIATU VYAKE NA UJIULIZE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI? Kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho, ni...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Sisi binadamu ni viumbe wa kujumuika, na moja ya lengo letu kubwa kwenye maisha ni kuhakikisha hatupo peke yetu, kuna watu ambao wako sawa na sisi na tupo pamoja nao. Turudi nyuma kidogo wakati...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Inashangaza sana katika dunia hii bado pesa ni kipimo cha upendo, hasa kwa wanawake kupima mwanaume. Hivi ile ajenda ya 50/50 huwa ni theory tu? Yani kuomba pesa kwa kuziita 'vocha', zawau...
3 Reactions
168 Replies
20K Views
Nimecopy na kupaste. Nashukuru aliyetengeneza list. Nimebadilisha kidogo, maneno Mengine yalikuwa makali.... 1)Kumuingilia bila romance Kosa kubwa sana kwani ili asikie raha na akupe...
14 Reactions
622 Replies
63K Views
Salamu kwenu waungwana wa jukwaa hili. Salamu pia ziwaendee wale walokole wa mitandaoni wakati nje ya mitandao wanajijua wenyewe vile waishivyo. Binafsi ni mdau mzuri wa facebook (hasa kipande...
22 Reactions
163 Replies
16K Views
Tangu zamani ni wavulana ambao walikuwa wanaona sifa kuwa katembea na wasichana. Kwa kawaida wasichana walikuwa wasiri sana hata akikukubali basi atakudanganya kuwa alibakwa kubikiriwa na hajawahi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mambo vp. eti ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa? binafsi sipendi kuulizwa eti 1.Utaoa lini? 2.Kwa nini mliachana? 3.Unafanya nini? nafungua mjadala rasmi karibuni
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Hello, I'd love to correspond to the above mentioned pple, I'm simple, charming and easy to get along with. Indeed a gentleman. Friends of all gender pls. Karibuni sana. wmerwis@gmail.com...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi guys, Happy new year, I hope all of u r ok. Nipo hapa ku apologise kwa maneno ambayo hamkupendezwa nayo ktk mrejesho wangu, I didn't mean to offend anyone, neshwa na wording ktk maandishi...
16 Reactions
177 Replies
14K Views
kama hutumii bongo ndo madhara yake haya
5 Reactions
47 Replies
7K Views
  • Closed
Mimi kama mwanaume nimekutana na hii mara nyingi sana yani dada umempa lift kwenye gari baada ya salamu anauliza unafanyia wapi kazi ukimwambia nipo TRA anakuomba namba ya simu ukimwambia mi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom