Dr.nathan
Member
- Feb 17, 2014
- 76
- 30
Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe.