Piga kura ya uamzi km jukwaa la mmu liwe na uongozi au lala

Unakubali tuwe na uongozi wa MMU??

  • Total voters
    6
  • Poll closed .

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,204
3,337
Wanajamvi
Salaam;
Kuna thread niliweka hapa mapema leo,nikishauri tuunde uongozi kati yetu wanajamvi kwa ajili ya kusahihishana sisi kwa sisi. Mods watabaki na kazi zao wala hatutaingiliana. Piga kura hapa km unakubali pendekezo hilo au hapana. Km unakubali piga NDIYO na HAPANA.unaweza kutoa maoni yako pia.
 
Hakuna maana yoyote magode nilishakwambia toka Jana ni ngumu homosapiens mwenzako kukuelewa. Ni ngumu sana utajisumbua bure tu Hakuna namna
 
Haina haja.

Wengine wataleteana michongo isioleweka kwa chuki zao binafsi.

Kuna watu wana chuki binafsi, usiniulize kwanini.

Hatutaki mambo ya kusimamiana simamiana.

Hapa kujiachia tu, yaani bata kwa kwenda mbele.

Wanoko pisha kaa pembeni
 
Wanajamvi
Salaam;
Kuna thread niliweka hapa mapema leo,nikishauri tuunde uongozi kati yetu wanajamvi kwa ajili ya kusahihishana sisi kwa sisi. Mods watabaki na kazi zao wala hatutaingiliana. Piga kura hapa km unakubali pendekezo hilo au hapana. Km unakubali piga NDIYO na HAPANA.unaweza kutoa maoni yako pia.
Unataka kusema Mwanajamii atakapotaka kurusha uzi wake, kabla haujawafikia wanajamii utatakiwa upitie kwanza kwenye uongozi huu?
 
Back
Top Bottom