bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
Wadau amani iwe kwenu
Mke wangu amekua mama wa nyumbani kwa muda mrefu, hivyo majukumu yote yakawa yangu peke yangu, ikiwemo, kodi ya nyumba wakati huo tumepanga, ada za shule, bills mbambali, food, clothing etc.Hii ni mbali na msaada wa fedha na vitu wanaoomba wazazi wake mara kwa mara, yote haya ni mm peke yangu, ingawa kodi ya nyumba kwa sasa haipo tena
Baada ya mateso haya, 2013 nikalazimika kumpeleka wife chuo japo akachukue diploma, amemaliza mwaka jana, na November akawa ame graduate. Mungu si athuman, December, kupitia kwa jamaa yangu wa siku nyingi wife akapata kazi hapo anapofanya huyo jamaa, ilikua ni bahati tu kwa kweli, tukashukuru sana.
Hiyo December alipata mshahara wa kwanza, na jan anatarajia mshahara wa pili, cha kushangaza amekaa kimya, nilitarajia mshahara wake wa kwanza aje nao mezani then walau aseme atachukua jukumu lipi kati ya yale niliyonayo mimi ndani, lakini wapi yupo kimya, hata tu kuniambia tu anapata bei gani hamna.
Wadau hii ni kawaida?
What difference does it make? Si aengeendelea tu kuwa mama wa nyumbani kama ndo hivi?