BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
I salute you my brothers& sisters,
Mahusiano ninayoyaongelea hapa ni yale ambayo mmoja anasoma vyuo vya elimu ya juu na mwingine yupo na maisha mtaani.Mwenza anakaa Hostel/chuo, pia sio mahusiano ya ndoa.
Nianze kwa kuwapa pongezi kwa walioweza kumaintain mahusiano ya namna hiyo.
elimu ya juu kwa nchi yetu inahitaji mwanachuo awe tayari kuhudhuria mda wowote ambao mwalimu anaweza akapanga.
Baadhi ya changamoto unazoweza kukumbana nazo katika kusubiria penzi la chuo.
1. Ratiba ya kuonana inaweza kubadilika bila notice.
2. Mood inaweza kubadilika kutokana na kinachojiri chuo.
3. Akili ya mwenza aliyekochuo iko tofauti na wewe uliye mtaani kisaikolojia.
4. Mawasiliano lazima yasubiri mda maalum hata kama una habari za motomoto,huwezi kupiga simu mpaka awe free!
5. Aliyeko shule anaweza kupata mchepuko na aliyeko mtaani naye vivyo hivyo. uhakika wa kuishi bila kusalitiani una mashaka.
6. Yeyote asipopokea simu mda unaojua yupo free mawazo ya kutojengeana imani yanachipua zingine jazia kama yamekukuta.
My take; Kama unahitaji kuoa au kuolewa mapema achana na biashara ya kusubiri mwenza amalize chuo miaka mitatu au minne utachora chini.
Asante