Ushauri wako ni muhimu sana

Ushauri wako ni muhimu sana

king90

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
368
Reaction score
222
Habari wana mmu! nimekuwa kwenye mahusiani na binti mmoja takribani miaka 3 tulianza mahusiano kipindi tukiwa chuo kiukweli tulipendana sana na kupeana support ya kimaisha kwani familia zetu zina uwezo wa kati,baada ya kumaliza chuo mwenzangu alipata kibarua lakini pia nilikuwa namsupport kwa kuwa nilipata kazi kabla yake.Baada ya muda kidogo nilianza kuona mabadiliko kwa upande wake nikaamua kufanya uchunguzi ni kweli nikagundua anamahusiano na bossi wake ambae ni mme wa mtu,niliumia sana nikamwita akakubali nakuomba msamaha na kaniomba sana tuendelee na mahusiano yetu ya awali,kaapa kuto rudia tena na anatafuta kazi sehemu nyingine ili pale aache kwani anasema ni shetani alimpitia baada ya kushawishiwa na bosi na pia yule bosi ananijua vizuri kuwa huyu ni mchumba wangu.Kiukweli bado nampenda na tulipanga november 2016 tufunge ndoa sasa hapa nafanyaje wakuu? Naombeni ushauri wenu
 
We ulipanga ufanyeje?? BTW: sikiliza moyo wako then fanya maamz
 
Ni upumbavu kupita kwenye njiia ya miiba usiku ilihali miiba ile uliiona mchana.Busara ni kupita njia nyingine wakati utakapokuwa unarejea usiku.
 
sasa kama bado unampenda umekuja huku kufanyaje ?

Halafu mambo ya kuchunguza huku ukiwa huna uwezo wa kumuacha ni UJINGA FIRST CLASS
 
Habari wana mmu! nimekuwa kwenye mahusiani na binti mmoja takribani miaka 3 tulianza mahusiano kipindi tukiwa chuo kiukweli tulipendana sana na kupeana support ya kimaisha kwani familia zetu zina uwezo wa kati,baada ya kumaliza chuo mwenzangu alipata kibarua lakini pia nilikuwa namsupport kwa kuwa nilipata kazi kabla yake.Baada ya muda kidogo nilianza kuona mabadiliko kwa upande wake nikaamua kufanya uchunguzi ni kweli nikagundua anamahusiano na bossi wake ambae ni mme wa mtu,niliumia sana nikamwita akakubali nakuomba msamaha na kaniomba sana tuendelee na mahusiano yetu ya awali,kaapa kuto rudia tena na anatafuta kazi sehemu nyingine ili pale aache kwani anasema ni shetani alimpitia baada ya kushawishiwa na bosi na pia yule bosi ananijua vizuri kuwa huyu ni mchumba wangu.Kiukweli bado nampenda na tulipanga november 2016 tufunge ndoa sasa hapa nafanyaje wakuu? Naombeni ushauri wenu
hivi mtu Uchumba tu hauheshimu? ndoa itakuaje? unajitafutia matatzo bureee. MPE. kampani ya kumgegeda afu ukipata wa kuoa mwambie na wewe ulipitiwa, watu mna utani sana kupigiwa sim ulipitiwa kupokea ulipitiwa kukubal ulipitiwa, kukutana mkagegedane ulipitiwa kwenda nako ulipitiwa dah chup kuvua nako ulipitiwa bas huyo ni bingwa wa kupitiwa
 
Nadhani vuta subra kwanza,niafadhali ukakosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa,muangalie jee amebadilika na moyo wako umeridhika?
 
Habari wana mmu! nimekuwa kwenye mahusiani na binti mmoja takribani miaka 3 tulianza mahusiano kipindi tukiwa chuo kiukweli tulipendana sana na kupeana support ya kimaisha kwani familia zetu zina uwezo wa kati,baada ya kumaliza chuo mwenzangu alipata kibarua lakini pia nilikuwa namsupport kwa kuwa nilipata kazi kabla yake.Baada ya muda kidogo nilianza kuona mabadiliko kwa upande wake nikaamua kufanya uchunguzi ni kweli nikagundua anamahusiano na bossi wake ambae ni mme wa mtu,niliumia sana nikamwita akakubali nakuomba msamaha na kaniomba sana tuendelee na mahusiano yetu ya awali,kaapa kuto rudia tena na anatafuta kazi sehemu nyingine ili pale aache kwani anasema ni shetani alimpitia baada ya kushawishiwa na bosi na pia yule bosi ananijua vizuri kuwa huyu ni mchumba wangu.Kiukweli bado nampenda na tulipanga november 2016 tufunge ndoa sasa hapa nafanyaje wakuu? Naombeni ushauri wenu
Kama ni tabia yake, itakula kwako. Tabia ni kama ngozi kubadilika si kazi ndogo.
 
Back
Top Bottom