samyz JF-Expert Member Apr 24, 2015 589 309 Jan 13, 2016 #1 Kwa wale wapenzi wa snapchat drop username tukutane tubadili mawazo,tu socialize tnx...
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 Jan 13, 2016 #3 Evelyn Salt said: Unatutenga instagramers Click to expand... Wewe unatumia nokia tochi instagram uijulie wapi?
Evelyn Salt said: Unatutenga instagramers Click to expand... Wewe unatumia nokia tochi instagram uijulie wapi?
BansenBurner JF-Expert Member Feb 16, 2015 6,810 5,769 Jan 13, 2016 #4 Napenda sana social networks lakini hii Snapchat naona inipite tuu.
matege2 Senior Member May 7, 2015 115 52 Jan 13, 2016 #6 Sijaweza hata kuitumia.. nilii download nikaifuta leo nimei download tena
hill and portion JF-Expert Member Sep 26, 2014 1,236 744 Jan 13, 2016 #7 Snapchat ndo nini(In jot voice)
samyz JF-Expert Member Apr 24, 2015 589 309 Jan 23, 2016 Thread starter #8 Evelyn Salt said: Unatutenga instagramers Click to expand... Uswaze ata insta poa tu
samyz JF-Expert Member Apr 24, 2015 589 309 Jan 23, 2016 Thread starter #9 BansenBurner said: Napenda sana social networks lakini hii Snapchat naona inipite tuu. Click to expand... Haha pole..but ukizoea iko poa sana
BansenBurner said: Napenda sana social networks lakini hii Snapchat naona inipite tuu. Click to expand... Haha pole..but ukizoea iko poa sana
samyz JF-Expert Member Apr 24, 2015 589 309 Jan 23, 2016 Thread starter #10 matege2 said: Sijaweza hata kuitumia.. nilii download nikaifuta leo nimei download tena Click to expand... Drop username bas if u don mind
matege2 said: Sijaweza hata kuitumia.. nilii download nikaifuta leo nimei download tena Click to expand... Drop username bas if u don mind
samyz JF-Expert Member Apr 24, 2015 589 309 Jan 23, 2016 Thread starter #11 hill and portion said: Snapchat ndo nini(In jot voice) Click to expand... N social network nduguu
hill and portion JF-Expert Member Sep 26, 2014 1,236 744 Jan 23, 2016 #12 samyz said: N social network nduguu Click to expand... Ikoje ikoje na how it operate
samyz JF-Expert Member Apr 24, 2015 589 309 Jan 23, 2016 Thread starter #13 hill and portion said: Ikoje ikoje na how it operate Click to expand... Unachat kwa kupiga picha den unaandika juu ya hiyo pic(snap) ukimtumia mtu akiifungua tu anaichek den inajifuta..unaweza tuma picha o video pia..
hill and portion said: Ikoje ikoje na how it operate Click to expand... Unachat kwa kupiga picha den unaandika juu ya hiyo pic(snap) ukimtumia mtu akiifungua tu anaichek den inajifuta..unaweza tuma picha o video pia..