Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I greet you all. Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu. Wanaomba wapate japo mwanaume atakaweza kumsitiri, wengi wao ni wale ambao umri wa kugombaniwa na wanaume...
10 Reactions
280 Replies
22K Views
Kichwa kinajieleza wazi watoto wanne wa familia moja wananimaliza hakika nimeduu Na mmoja wao lkn hawa wenhine hawajui in wazr sn ila hawamzidi huyu nilieduu nae ila tamaa zinanisukuma...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hapa chini nitaeleza baadhi ya vijimambo vya wanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wa kutokuwa wakweli: (1) Tangu kukua kwangu nimewahi kutembea na mwanaume mmoja tu maishani mwangu tena...
13 Reactions
111 Replies
12K Views
Usiku huu wa kwanza wa Honeymoon yetu ningependa nikwambie haya yafuatayo...... Harusi sasa imeisha, kila mtu amesharudi kwao. Hakuna muziki tena, hakuna kwaito tena. Harusi yetu ilikuwa nzuri...
12 Reactions
78 Replies
10K Views
Wadau nawasalim, Ninahitaji ushauri wenu ama nimsamehe wife au la kutokana na kitendo chake cha kuikimbia nyumba na kwenda kuishi kanisani Ipo hivi; Mwaka 2012 mke wangu alianza kuhudhuria...
4 Reactions
104 Replies
13K Views
Najua wote mko poa kabisa, tokea mwezi uliopita kuna vitu vinatokea kwa mke wangu sivielewi kabisa. Kabla ya hapo tulikua tunachangia gharama za nyumbani 65%/35%. Lakini cha ajabu tokea mwezi...
3 Reactions
99 Replies
12K Views
Asaalam wapendwa. Hii kitu ni muda nakutananayo ila kwa hili la rafiki yangu nimeona nililete hapa tutafakari pamoja kwa maana nimefikiria sijapata jibu. Nina rafiki yangu kafunga ndoa kama...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri,anafikiria kuvuta jiko mwishoni mwa mwaka huu!ana wasichana wawili ambao ana mahusiano nao ya kimapenzi,wa kwanza sio mrembo ila ni bright sana kichwani,mpaka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wimbi la vijana kuvaa mlegezo limeongezeka huku nguo nyingi za ndani zikiwa sio nadhifu.Hawa vijana tuwafanyeje wajielewe.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Greetings everyone. Today I would like to share my 4 year experience I dated a lady who worked as fashion model in Arusha and leter became Miss Tz Top Model. Now she is a college student in...
0 Reactions
128 Replies
23K Views
Habari JF! Kwanza kabisa heshima iwe kwenu! Mimi nimekuwa ni mtu wa kuumizwa sana na mapenzi! Kila mtu nae kuwa nae mara nyingi huwa najikuta nimempenda sana sana! Halafu mwisho wa siku huishia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za kitandani wadau wa mmu!, bwana, mimi nikipenda huwa napenda kweli! sio kama ccm zenji zisipotosha kura zinatoshelezwa! Pasco karibu hapa, nimemsomesha binti nilie/ninae/ mpenda! sijui...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimewahi kuona binti wa kiswahili 'mtanzania'akiwa ameolewa na mwanaume wa Kihindi mwanaume wa kizungu akioa mwanamke wa Kiswahili, mwanaume wa Kiswahili akioa mwanamke wa Kizungu nk.lakini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Habari za mchana wana JF, Nakuja tena kuwapa kinachoendelea juu ya mkasa wangu huu wa Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini Kwanza nashukuru kwa mawazo mazuri mlionipa japo wengine...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari Wakuu! Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana? Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit? Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
0 Reactions
162 Replies
18K Views
CHAGUA JAMBO MOJA ILI USIPOTEZE MUDA NA KUFANYA KITU KIMOJA KWA UFANISI ZAIDI Kama unataka kujua watu wanaopoteza muda kwenye maisha yao, wakidhani ya kwamba wanaokoa muda, ni watu ambao wanataka...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kabla hujamwoa Ester alikuwa na mahusiano na Benard ambaye wanafanyakazi ofisi moja,we ulipofika mjini kutokea mkoani ukatangaza ndoa na Ester,kwa kuwa Benard alikuwa ni hawara tu na mwenye...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wasichana wengine wana lawama wakisikia boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsu "umekosa nini mwanaume huridhiki, utamaliza nyama bucha ileile, kwani mi sikupiiii, si nakuuliza wewe hasidi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Wandugu ebu munipe njia nimtie moyo huyu rafiki yangu hajitambui wala hana raha kabisaa. Rafiki yangu huyu alichumbia mchumba tangu huyo mchumba akiwa form five, sasa huyo mchumba anasoma masomo...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Binaadamu wanaweza kusema lolote pale unapochukua maamuzi fulani kwenye maisha yako. Lakini kama unahisi hiko ndio UNACHOKITAKA na uko sahihi USIYUMBE, hata siku moja usifate mtu kasema nini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…