Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
955
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
 
Mara nyingi mijadala ya namna hii waleta mada huwa wameshafanya maamuzi,isikilize nafsi yako brother,mke ni wako,ndoa ni yako,watoto ni wako.Nnaamini wakat unataraji kuoa hukuja hapa,maelezo yako yanaonesha hujawah kukaa na mkeo na kujadili changamoto zenu za kindoa.Una vichwa viwili,visikilize vyote kwa nyakat tofauti,kisha fanya maamuzi
 
Kaa na wife mjadili changamoto zenu ili kupata suluhisho.
Wewe unadhani ni kwanini my wife wako kapoteza mvuto na wewe ndani ya aka 2 tu?
 
Kila kitu ni maamuzi kama hujaamua kuwa mwerevu maana yake umeamua kuwa mjinga

shemejiii

Shem lipo pretty pretty

nalitega shem shem linategeka

shem linaombeka

shem kudadadeq

Wee shemeji aa shemeji we shemlake
 
Mara nyingi mijadala ya namna hii waleta mada huwa wameshafanya maamuzi,isikilize nafsi yako brother,mke ni wako,ndoa ni yako,watoto ni wako.Nnaamini wakat unataraji kuoa hukuja hapa,maelezo yako yanaonesha hujawah kukaa na mkeo na kujadili changamoto zenu za kindoa.Una vichwa viwili,visikilize vyote kwa nyakat tofauti,kisha fanya maamuzi
Akisikilize sana cha chini..
 
Dah ushajilia kitu... kazi njema buana!!
Huyo mtafune hadi mifupa!!! Mpe haki yake kikamilifu na jisahaulishe maumivu!!!
 
Hahahhahahahahhahaha sometimes siye wanaume huwa tunachekesha sana. Mtoa mada kweli unataka ushauri hapo tena upo katika ndoa tangia 2009 au unataka kutueleza kwamba unamkula shemeji yako?

Mkuu hebu grow up bhana acha mambo ya vijana hayo wayafanye. Zingatia familia, watoto wawili si bure mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom