Blood, sweat and tears: Poignant pictures capture women during childbirth and the first joyous moments of bonding with their newborn babies
Photographer Leilani Rogers started the Public...
Jamani mapenzi, yananitatiza, Kulala siwezi, kusema siwezi
Chakula sitaki, nakiiona sumu, Mapenzi yamenivaa, nami ugenini
Akili imenipaa, hata njia siioni, Mapenzi yana hadaa, ya kweli...
Salaam ndo jadi ya muugwana nami naanza nayo,
Habari zenu?
Kama kichwa kinavosema ndio hali halisi.Tanzania yetu hii imejaa kila kona waganga wa kienyeji na tiba asili wakijinadi kuwa na dawa ya...
Rejea kichwa cha habari hapo juu!!!
Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii,utagundua kuwa vijana wa kiume ndio wanaojitokeza zaidi kuomba mahusiano kwa kutumia mitandao hiyo,mfano hata humu...
Mimi ni binti nilikuwa kwenye uhusiano na mpenzi wangu kwa miaka minne toka yeye akiwa first year chuo flani hivi, mimi kielimu ninamalizia certificate ya lab tech mwaka huu ikiwa yeye amemaliza...
Mshkaji kamtongoza my wife. My wife kapiga kimya, asinambie. Yamenikuta wa ukae.
To cut the long story short, nna rafiki yng ambae tulikotoka mpk hapa tulipo, inatosha kusema ni ndg.
Ghafla...
Wakuu habari,
Nimekuwa member wa JF since 2012, tangu wakati huo sijawahi kuanzisha thread yeyote isipokuwa nimekuwa mchangiaji wa baadhi ya mada zinazowasilishwa JF sanjari na kusoma thread...
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.
ninatafuta...
Nimeajiriwa serikalini mshahara Wangu wa kawaida sana yaani mshahara wa graduate kila Siku nimatatizo ikifika tarehe10 Sina kitu nikiangali nilichofanya sikioni jamani nitumie kanuni gani less...
Nasikia yapo maneno ambayo ni hatari sana kwa wanandoa kuleta doa kwenye ndoa yao na hata kuhatarisha mahusianao kuvunjika.
Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana...
Habari za mchana wana Jf's
Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi.
Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu...
Habarini wadau,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekuwa na mpenzi wangu kwa mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tatizo lake ni pale tunapokuwa tunakutana kimwili huwa...
ACHA MAISHA YA ZIMA MOTO
Watu wanaofanya kwenye idara ya zima moto kazi yao ni moja tu, kusubiri moto utokee na kwenda kuuzima. Kama hakuna moto, hawana kazi kubwa, ila moto unapotokea ndipo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 , natafuta rafiki wa kike ambae tukikubaliana na kuelewana tutaanzisha familia .awe na elimu yoyote,kabila lolote,rangi yoyote ila awe msafi tu.
Hi guys
Hivi karibuni tulikua tunasuluhisha mgogoro wa ndoa wa family friend ambapo niliombwa na kikao kuongea na mwanamke aniambie shida ni nn hasa maana amekua akimsumbua mumewe kwa uzinzi...
Hizi ni Njia 11 za kumfanya mpenzi asitoke nje
1. TAMBUA THAMANI YAKE
Unapokuwa Umeapa Kuwa Utampenda Mwenzako Hadi Kifo Kitakapowatenganisha, Uwe
Umefanya Hivyo Kwenye Nyumba Ya Ibada Au...
salam kwenu wote member jf
natarajia kwenda nchin kenya jiji la nairob kikaz naomba kufaham mnijuze mlioko huko au ambao mmeshaakaa huko madem wa huko n km wa bongo au mda wowote una aploch au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.