Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Eti jamani nimekosea nini hapa,.nilikuwa na apointimenti na mpenzi wangu aje nyumbani kweli alikuja baada ya kufika na story za hapa na pale hakuniridhisha kivile kwa jinsi alivyokuwa hivyo basi nikamuomba aende akakoge maji ili tuendelee na yetu.Kwa kweli nilishangaa sana sikujua kafikiria nini kanipa jibu ambalo sikutegemea.,"umeona siogagi kwetu hakuna maji au" basis akawa kazira kabisa na mzigo kaninyimba kaondoka kanuna.siku ya pili leo nampigia sim hapokei.