mamii90
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 380
- 266
Katika pita pita zangu nilikutana na jamaa mmoja mtu mzima kidogo ashawahi kuwa flani katika serikali miaka ya nyuma tukawa marafiki.
Leo tukaenda lunch akanipeleka kwenye hotel flani very private ambayo yeye ni member
Aise mazingira yalikuwa yanatisha kwani kuna ukimya sana lazima uwe na membership ndo uingie so watu hawakuwepo zaidi ya wahudumu.
Katika stori nikamuuliza hii sehemu mbona ni kimya na hakuna watu sanaakasema ni kama kijiwe chao cha kahawa tu sema wengi wao wanapatikana kwa nadra (marafiki/wanachama wa hapo)
Nikambana kwa maswali mazito akasema mimi ni freemason just simple as that nikashtuka akaelewa kwamba nimeshtuka akasema next time nitakuelezea lakini sio kama mnavyozungumza huko mtaani.
Then nikajifanya nimeelewa lakini sasa nimerudi nyumbani nawaza hatari;
1. Je hawa jamaa wanajitangaza kirahisi namna hii?
2. Je ni kipimo gani cha kutambua alichokisema.
3. Hawezi nidhuru? Au kutatanisha imani yangu?
Nina maswali mengi lakini nahisi kumkwepa siwezi kwakua ni bosi wangu kwenye biashara flani.
Wakuu msaada