Mwanamke kupenda mapambo na kujiweka mtandaoni, je anajiuza?

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Naomba mnijibu nyie wanawake kujionyesha uzuri wenu na maumbo yenu je huwa ni chambo ya kuvuta wanaume.

Kuwadolishia wanawake wenzako kwamba we kali yao au huwa mnapeleka ujumbe gani kufanya hivyo.

Wanawake karibuni mchangie kwa wingi.
 
Kwani hayo mambo ndio umejua leo! Nenda kule BADOO, ujue kama wanajiuza au wamejiweka tu kule.....!
 
Back
Top Bottom