meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Ni mara chache napitaga jukwaa hili lakini leo imebidi nije na hoja ...!
Nipo pub nashuhudia jamaa aliyekuwa akijidunga safari lager aka Nondo akimpokea mke wa rafiki yangu ambaye naye kaagiza safari...
sasa nimekwama kama nimwambie jamaa au la.
Nikimwambia lazima wife wa jamaa atajua ni mimi niliyeuza hilo chezo ...!
Hebu tushauriane wadau