Mimi ni kijana ninamiaka 27 na nilizaa na mdada mmoja ila hatukuoana.Sasa katika mahusiano tukashindwa kuelewana ikabid tuachane.Akaniachia mtoto akatambaa.Nimekua nikipenda na kupendwa sana na wadada wengine niwe nao ila kila nikimfikiria mama mtoto wangu naumia sana hata usiku saa nyingine silali.Namuwaza tu na niliambiwa yupo mkoa mwingine amekua bar maid so siwez rudiana nae tena.Ila roho inaniuma sana nahisi kama sikufanya maamuz sahihi...Na mtoto wetu ni binti yupo na bibi yake kijiji Bukoba nasikia kuna kipindi alienda kuwasalimia ila mi na yeye hatuna mawasiliano tena...Sijui nifanyeje?nimtafute nimrudie au nimpotezee?Hii nguvu ya kuendelea kumpenda inatokea wapi tena??????????????????Sijielewi...Ushauri wandugu...mimi ni mfanyakaz wa wizara Fulani na kipato change si kidogo najitosheleza