adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Simu za android zimekuwa breach ikija suala la kutaka kujua simu ya yoyote unaemtaka jinsi anavyotumia (hack) watumiaji wa hizi simu wamekuwa victim bila kujua wanafuatiliwa kirahisi na wapenzi wao kuweni makini maana mahusiano ya sasahivi yanavunjika katika simu za mkononi zilipoingia.