Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo vipi watanganyika wenzangu?ebana kuna haka katabia kamekua kwa kasi hasa maeneo ya mijini,kwa mfano kama mwanaume umeongozana barabaran na mpenzi wako,basi huyo mpenzi wako atajishebedua kwa...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Tarehe kama ya leo 2012 naikumbuka baada ya binti Roda mtoto toka Mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi. Ilikuwa ni kama bahati kwangu baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari zenu, Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake? Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa...
18 Reactions
256 Replies
33K Views
Amekuomba urafiki facebook. Umeangalia picha zake Anaendesha Range Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo Umemkubalia urafiki Amekutumia text inbox Umemjibu Amekuomba out Mkapanga kuonana Ukajikwatua...
18 Reactions
30 Replies
6K Views
Wengi wanaoomba mahusiano ni wanaume. Si tatizo kwani hata katika dunia halisi hali ni hivyo. Mwanamke anapoomba mahusiano hupata mafuriko ya maombi. Ni tofauti na mwanaume anapoomba/hitaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo...
8 Reactions
68 Replies
11K Views
Hii mada haiwahusu wanawake walioolewa na wanaume wenye miili ya 'kunenepa kwa ndani' yaani wale hata umlishe na mirija utachemsha tu, mwili hautokezi ng'oooo!! Pia haiwahusu wale ambao wako...
9 Reactions
163 Replies
15K Views
Blood, sweat and tears: Poignant pictures capture women during childbirth and the first joyous moments of bonding with their newborn babies Photographer Leilani Rogers started the Public...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Jamani mapenzi, yananitatiza, Kulala siwezi, kusema siwezi Chakula sitaki, nakiiona sumu, Mapenzi yamenivaa, nami ugenini Akili imenipaa, hata njia siioni, Mapenzi yana hadaa, ya kweli...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Salaam ndo jadi ya muugwana nami naanza nayo, Habari zenu? Kama kichwa kinavosema ndio hali halisi.Tanzania yetu hii imejaa kila kona waganga wa kienyeji na tiba asili wakijinadi kuwa na dawa ya...
3 Reactions
10 Replies
13K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu!!! Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii,utagundua kuwa vijana wa kiume ndio wanaojitokeza zaidi kuomba mahusiano kwa kutumia mitandao hiyo,mfano hata humu...
0 Reactions
165 Replies
14K Views
Mimi ni binti nilikuwa kwenye uhusiano na mpenzi wangu kwa miaka minne toka yeye akiwa first year chuo flani hivi, mimi kielimu ninamalizia certificate ya lab tech mwaka huu ikiwa yeye amemaliza...
1 Reactions
69 Replies
12K Views
Mshkaji kamtongoza my wife. My wife kapiga kimya, asinambie. Yamenikuta wa ukae. To cut the long story short, nna rafiki yng ambae tulikotoka mpk hapa tulipo, inatosha kusema ni ndg. Ghafla...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu habari, Nimekuwa member wa JF since 2012, tangu wakati huo sijawahi kuanzisha thread yeyote isipokuwa nimekuwa mchangiaji wa baadhi ya mada zinazowasilishwa JF sanjari na kusoma thread...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza; mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini. ninatafuta...
1 Reactions
90 Replies
8K Views
Nimeajiriwa serikalini mshahara Wangu wa kawaida sana yaani mshahara wa graduate kila Siku nimatatizo ikifika tarehe10 Sina kitu nikiangali nilichofanya sikioni jamani nitumie kanuni gani less...
0 Reactions
73 Replies
13K Views
Nasikia yapo maneno ambayo ni hatari sana kwa wanandoa kuleta doa kwenye ndoa yao na hata kuhatarisha mahusianao kuvunjika. Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari za mchana wana Jf's Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi. Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…