Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Nasikia yapo maneno ambayo ni hatari sana kwa wanandoa kuleta doa kwenye ndoa yao na hata kuhatarisha mahusianao kuvunjika.
Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana ama lilileta athari mbaya kwenye ndoa yenu.
Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana ama lilileta athari mbaya kwenye ndoa yenu.
- Kwanza hukua chaguo langu.
- Huyo mtoto si wangu ni wako.
- Unaringa unadhani uko peke yako?
- Ongeza mengine