Habari za mchana wana Jf's
Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi.
Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu nampenda lakini nilikuwa sijisikii kufanya nae mapenzi licha ya yeye kunibembeleza sana kiasi cha keleta usumbufu nikashindwa kulala vizuri na nimejikuta leo nachelewa kazini.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mda nilipopata usingizi nilipata ndoto nyevu hadi kujikojolea. Na hili limetokea mara kadhaa tangu miezi minne hivi iliyopita.
Sasa najiuliza hii ni nini huku nabembelezwa nyapu halafu najisikia uchobu balaa na hapohapo naota ndoto za ku do?
Nimejikuta naanza kumchukia mke wangu kwa kusababisha nichelewe kazini na hapa naandika nikiwa na hasira sana, naombeni ushauri kama nina tatizo nipate ufumbuzi.