Tofauti ya miaka 18 inafaa kuoana?

KIDHEHA

Member
May 21, 2012
51
14
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
 
Habari, mimi ni kijana nina miaka 40...Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaeefect baadae kwenye mahusiano?
Be the first to reply...

Kwa mwanamke unafuata umri au papuchi na mwenza wa kuishi naye??
 
Hiyo combination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
 
Hivi kijana mwisho miaka mingapi ??

we umechelewa kuoa labda baada ya kila siku kujiona kijana
 
Hiyo comination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
May be its true.
 
Hivi kijana mwisho miaka mingapi ??

we umechelewa kuoa labda baada ya kila siku kujiona kijana
Huezi jua labda katalikiana na wake zake wengine au mkewe katangulia mbele ya haki so anafanya replacement ya kitumbua
 
Jee nafsi yako imeridhika kumuona? anaweza kua 22 lakini anamaadili na sifa za kua mke,na anaweza kua 30-38 akawa mtupu kichwani mpaka ukashanga hana anachokifikiria zaidi ya harusi kumtunza shoga Kitanda yeye analala na wadogo zake chumba kimoja, chamsingi nikumsoma kama yuko kwenye ule ule muelekeo unaoutaka wewe..........
 
Uyu jamaa kam nakusom iv ila sina uhakika san.ila kam ni ww ndio yule lecture wa MuCobs pale moshi mwalimu tena na unamichepuko lukuki na bhad unatok na university student wa age iyo uliyosem apo? Deem em kaa mbali maan uyo bidada hakupend maan alifum mitext yk na michepuko Yako!

Ila usimwaribulie future uyo student maan kuna watu wanaangalia ukiarib unaeza potezwa kweny ramin ya Tz..ni hayo tyu
 
Habari, mimi ni kijana nina miaka 40...Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaeefect baadae kwenye mahusiano?
Utawahi kuzeeka vijana wa mtaani watakupigia, maana atakuwa bado anadai!
 
Habari, mimi ni kijana nina miaka 40...Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaeefect baadae kwenye mahusiano?
Efect kubwa wew umeanza kuzeeka lazima vijana wenzake watoke nae tu
 
Miaka 40 bado ni kijana kweli? Ila we chukua tu maana mtoto wa mwenzako mkubwa mwenziwe
 
Oa ila ilibidi utafte wa kama 28-30 maana huyo uchuo bado mwingi. Afu at that age wenda bado ana bikra kiasi kwamba hajaona ndefu, fupi, nene, soseji, mizengwe ya wanaume etc, huoni kuna siku atataka kuziona? Mm at that age nilikuwa bado new brand so ningekosa experience. Think twice twice
 
Back
Top Bottom