Kumbukumbu ya kusamehewa UKIMWI

Kumbukumbu ya kusamehewa UKIMWI

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,802
Reaction score
60,648
Tarehe kama ya leo 2012 naikumbuka baada ya binti Roda mtoto toka Mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi. Ilikuwa ni kama bahati kwangu baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa kumnyaka japo kwa kulazimisha sana na hata ilipofika time ya kumuomba mzigo bado aliendelea kunikatalia.

Kiukweli nilimlazimisha sana tukifanya nae romance kwa wingi lakini kila nikitaka kuingiza alikataa katakata, nilisumbuka naye sana zaidi ya mara 7 namvua nguo lakini wapi, namchezea analegea macho lakini nikijitahdi hata kutaka kumbaka aliendelea kunikataa nifanye naemapenzi , sikuwahi kuwaza matumizi ya condom kipindi hicho na hii ni mpaka leo.

Sikuwahi kumtukana wala kudharau maamuzi yake. Alinipenda kwa kweli nadhani mabinti wote wapo hivo wana huruma sana akikupenda hataki kukuona ukiteseka
Nimekumbuka siku aliyoniita na kunieleza ukweli kuwa yeye ni muathirika alimbukizwa na babu mmoja hukohuko kwao Mbeya na hakuhitaji kufanya makusud kunirushia ugonjwa,
niliishia kumshukuru.

Nafurahi kumwona mpaka sasa akiwa mwenye afya na anaendelea na maisha yake na biashara zake za kuuza nguo. Nampenda sana ni mwanamke mzuri kwangu
 
Namfahamu baba mmoja, alikuwa na uwezo, alikuwa akimtaka mama mmoja single alimfukuzia muda mrefu, lakini yule mama alikuwa akimkatalia kiugwana.
ilifikia point yule mama akamueleza ukweki yule baba kuwa yeye ni muathirika, mama alikuwa na watoto wawili ambao ni wazima, yule baba baada ya tukii hili, aliamua kwasomesha watoto wa yule mama na kumuhudumia yule mama gharama za maisha kwa ajili alimuonyesha kumjali na kumuepushia hili badalaa
 
Sisi buana huwa tunaroho nzuri sana tukiamua na pia tukiamua tunaweza kuwa na roho ambayo shetani nae hufika kipindi anashangaa ..mmmh hivi hii roho mbaya ni yangu jamani ama kuna shetani mwingine kampa huyu mwanadamu roho hii?? Wanawake mara nyingi huamua kulipiza kisasi kwa waliowaumiza sana maishani ... Ishi na Sisi kwa Akili
 
Kwanini tujichoshe kuishi kwa akili na nyie
 
Kiukweli nimejifunza sana
Baadhi ya wanawake wana roho nzuri sana sikuwah kujua
 
Daaah!!...yaan mimi Demu akinikataa cha kwanza hua nahisi kaniepushia hili

Na demu niliyekula akiniambia ana maongezi na mimi cha kwanza nachowaza ni labda ataniambia amepima ana ngoma au ujazito Daaamn
 
Vitu vingine hata kama ulikuwa umesimamisha mandingo unajikuta unakua mpole tu.

Haka ka ugonjwa kamekaa sehem mbaya sana. Daah.
 
Nami napongeza mno, na kwa namna hio Mungu hataacha kumlinda na jinsi alivyo na huruma na upendo na tena asivyo shindwa na chochote siku huyo binti atajikuta hana huo ugonjwa.
 
Tarehe kama ya leo 2012 naikumbuka Baada ya binti roda mtoto toka mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi..
Ilikuwa ni km bahati kwangu Baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa kumnyaka japo kwa kulazimisha sana na hata ilipofika time ya kumuomba mzigo bado aliendelea kunikatalia. Kiukweli nilimlazimisha sana tukifanya nae romance kwa wingi lakini kila nikitaka kuingiza alikataa katakata, nilisumbuka naye sana zaidi ya mara 7 namvua nguo lakini wapi, namchezea analegea macho lakini nikijitahdi hata kutaka kumbaka aliendelea kunikataa nifanye yangu kwenye uchi wake , sikuwah kuwaza matumizi ya condom kipind hicho na hii ni mpaka leo
Sikuwah kumtukana wala ku dharau maamuzi yake. Alinipenda kwa kweli nadhani mabinti wote wapo hivo wana huruma sana akikupenda hataki kukuona ukiteseka
Nimekumbuka siku aliyoniita na kunieleza ukweli kuwa yeye ni muathirika alimbukizwa na babu mmoja hukohuko kwao mbeya na hakuhitaji kufanya maksud kunirushia ugonjwa
Niliishia kumshukuru
Nafurahi kumwona mpaka sasa akiwa mwenye afya na anaendelea na maisha yake na biashara zake za kuuza nguo. Nampenda sana ni mwanamke mzuri kwangu
subiri nikatafute mkate
 
Funga nae ndoa
 
romance gani? kama ulidendeka imeshakula kwako
 
Back
Top Bottom