Kwanini wanaume tunakuwa wahanga wa kuomba uhusiano mtandaoni?

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,267
Likes
1,441
Points
280

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,267 1,441 280
Rejea kichwa cha habari hapo juu!!!

Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii,utagundua kuwa vijana wa kiume ndio wanaojitokeza zaidi kuomba mahusiano kwa kutumia mitandao hiyo,mfano hata humu JF,............Facebook,twitter na mitandao mingine chipukizi na unpopular pia... nakadhalika,nakadhalika.

-Kwa kweli sio kitu kibaya sana kutafuta RAFIKI au MPENZI kwa kutumia mitandao ya kijamii,na sio kuwa hakuna wanawake wanaotafuta nao kwa kutumia mitandao.LA HASHA idadi ya vijana wa kiume ni kubwa zaidi.

1)Je wanaume ni wengi zaidi katika kila aspects?

2) Wanaume ni jasiri zaidi kufanya hivyo?(kuomba uhusiano)

3)Je ni rahisi zaidi kutumia njia hizo kuliko njia zingine?


na pia kuna yatokanayo na hayo,ambayomwanaume mhusika anapaswa ajiulize

Je unaamini mahusiano ya kweli yanaweza kupatikana kwenye mitandao?na urafiki/uhusiano ukadumu?---ndio sikatai,inatokea kijana wa kiume akampata mweza kwenye njia hii lakini je ni wangapi kati ya 100 wanaofanikiwa ?

JE WEWE UMEGUNDUA NINI KUTOKANA NA IDANI KUBWA YA WANAUME KUTAFUTA URAFIKI AU MAHUSIANO KWA NJIA YA MITANDAO?
 

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,267
Likes
1,441
Points
280

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,267 1,441 280
MKUU neno wahanga manaake victim hiyo heading ina utata! any way njia ya mtandao inatumika kwakuwa ni tekinolojia iliyopo pili wanaume wana nguvu ya uchumi na ni wajibu wa mwanaume kusaka vimwana kuliko mwanamke kusaka wanaume
mkuu nimekuelewa sana...lakini je ni kujifurahisha au wanafanikiwa pia?
 

Forum statistics

Threads 1,189,542
Members 450,716
Posts 27,639,676