Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi guys, Mimi na mtu wangu tulikuja states kutafuta maisha miaka 9 iliyopita, tumekua tukiishi pamoja bila ndoa kwa kipindi chote hicho, tuna mtoto mmoja wa miaka 5, tangu tumekuja hapa states...
8 Reactions
239 Replies
23K Views
Awe mweupe,asiwe na makuu,Nina Mali nyingi na hela za kumtunza,ila siku tukikosa asiwe na lawama nyingi.ni hayo tu.ni pm tufanye maisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumbe kuishi kwingi siyo kujua mengi. Mimi ni mzee sana, najiona kuliko wote JF lakini kuna jambo jipya sijawahi klisikia katika maisha yangu ya zamani na ya sasa, duniani wala sehemu yoyote...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
1. Unanunua nguo bila mpangilio kuna watu wana nguo kama duka. Kuwa na nguo chache tu huwezi kushindana na fashion. 2. Unanunua Viatu bila mpango, viatu pia vinameza savings zetu, nunua pea...
16 Reactions
43 Replies
6K Views
Hivi juzi juzi mama mkwe wangu alikuja kunitembelea hapa kwangu akitokea huko Mbwinde. Nilifurahi sana kwa kuwa ni muda sana umepita hatujaonana. Mama mkwe hakupoteza muda akanipa " mwongozo "...
4 Reactions
94 Replies
10K Views
Ni matumaini yangu wote mu wazima!!! Nimejitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike wa kuchart nae, ila 1. Awe free asiwe controlled girl 2. umri wowote ila asizidi 23, ninaamini 24 nakuendelea...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Hili nimelifanyia utafiti wa kutosha, Wanawake wengi hapa mjini Dar Es Salaam wanapenda magari mwanzo mwisho. Wadada wengi ambao wanajiona wana hadhi (status) ya juu sasa hawakubali kuwa na...
12 Reactions
191 Replies
30K Views
NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Nakumbuka nilipokuwa primary kipindi hiko nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulikuwa tunaishi jirani na tunasoma shule moja, darasa moja na dawati moja. Kila siku tulikuwa tunaenda shuleni...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Huyu dada wallahi nampenda lakini aniamini ! Inshu ilikuwa hivi kwamba nilimwambia ukweli kwamba mie hapo nyuma nilikuwa mchafu nilikuwa na mademu wengi lakini kwa sasa nimeachana nao nataka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Poleni na mihangaiko wana JF. Naomba ushauri nifanyeje hapa nilipopanga majirani zangu wanamcheka mpenzi wangu walikuwa ndani wakicheka huku housegirl akiwa mlangoni nikaona housegirl naye...
3 Reactions
89 Replies
15K Views
Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
This is just a reminder. Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume. Nawakumbusha tu maana...
20 Reactions
110 Replies
15K Views
natafuta msichana aliye serious tuanzishe urafiki ikimpendeza Mungu tuende katika upande wa pili we maisha, awe mchaji na mwenye hofu ya Mungu pia awe anayejitambua.. umri usizidi miaka 27 pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wahenga wanasema maajabu hayatoka, yataendelea kutokea. Tofauti na mapacha walioripotiwa katika kisa fulani ambapo mmoja wao alimuua mwenzake baada ya kuangukia katika penzi la mwanaume mmoja na...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Wana Jf habari za blue monday, Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa Dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi. Ana wiki moja tangu...
4 Reactions
78 Replies
11K Views
Pale napokuwa na mtoto mzuri kwenye uwanja wa 6 by 6. Mimi nakomaa kumpiga romance za hapa na pale huwa fresh lakini pale tu anapopeleka mikono yake maeneo ya makalio yangu hamu huwa inaisha na...
2 Reactions
86 Replies
13K Views
Naitwa Jeff, nahitaji manzi. My WhatsApp 0683368616
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima kwenu wote, Nusu saa iliyopita nilipanda daladala na kukaa kiti cha nyuma ya dereva,baa da ya mwendo kidogo dereva akaniomba nihamie kiti cha jirani yake (kwenye coaster) Akaanza...
1 Reactions
61 Replies
13K Views
Rafiki yangu tumekutana wilaya moja nchini takribani miaka 10 iliyopita tupo pamoja, miaka ya mwanzoni ya urafiki wetu alikuwa kisu kwa wanawake, sasa ni takribani miaka miwili amekuwa mpole na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom