tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,928
- 15,803
Mambo vipi watanganyika wenzangu?ebana kuna haka katabia kamekua kwa kasi hasa maeneo ya mijini,kwa mfano kama mwanaume umeongozana barabaran na mpenzi wako,basi huyo mpenzi wako atajishebedua kwa kujifanya kachoka ili tu mwanaume amsaidie kubeba mkoba wake..hvi haya ndo yaliyowapeleka beijing au ni kaukoloni kapya kameingia?