Usia wangu kwa akina dada: Msiwe na tamaa, soma hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Living-with-HIV-in-Canada-004.jpg

Amekuomba urafiki facebook.
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana
Ukajikwatua mwenyewe
Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema
Ukaweka na make-up na weave mpya.
Akakuchukua kwa ajili ya lunch Serena hotel
Akakuagizia na soft drinks
Mkawa na muda mzuri pamoja
Akakushika mkono
Akakufanya uwe unacheka muda wote kwa vituko vyake
Ukampenda
Ikawa kama umemjua kwa miaka
Akakuchukua kwenda kwake
Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake
Akakubusu kimahaba
Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri
Ukajisikia secure ukiwa nae
Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu
Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.
Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.
Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.
Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepata
Ukajihisi ni mwanamke special
Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.
Ukavaa nguo.
Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxi
Akakubusu katika shavu.
Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.
Akakupa Tsh 100,000. Ukatabasamu na kumwambia nitakuona kesho.
Akabaki kimya. Taxi uliyopanda ikaondoka.
Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu
Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.
Yupo online lakini hakujibu text yako
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!
Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa, mchovu, uzito umepungua na utando mdomoni
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima
Nusu saa baadae daktari anaingia.
Pole sana dada yangu daktari anakuambia.
Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile.
Mimba, HIV+????
HOW??
Hauelewi
Inakuumiza sana, hauamini.
Unaenda nyumbani.
Ukiwa na hofu kubwa.
Unaona kifo hichi hapa
Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.

SISTERS MSIWE KAMA HUYU, ISHI VIZURI, ACHA KUTAMANI MATERIAL THINGS. KUWA MWANAMKE AMBAE UNGEPENDA BINTI YAKO AJE KUWA HIVYO.

ISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU PEKEE NA SIO BINADAMU.

BINADAMU HAWANA DOGO.
 
this should go out to men too, its a two way thing.. I mean what if the guy was the one with a good heart na nia njema kwa mrembo, kumbe mrembo ana umeme. they are obsessed with our money and we are obsessed with their bodies, sote tuache tamaa, tutapotea mchana kweupee
 
Kuna wanawake wengine wanaona umalaya deal mjini hapa..jitu halina shule, halitaki kujituma, kuhangaika na life, linapiga uhuni daily. Likianza kuzeeka kila uchwao linakwenda nyumba za ibada kusumbua watu kutaka kuombewa apate mume, mengine yanahangaika kwa waganga usiku kucha (na huko yanapigwa nao sanaa tu).

Anaetaka kuoa makombo/visirani nani ?? Fanyeni kazi, hata kama ana mtu wake awe ni wakumpenda yeye na kukubaliana nae.

( Hii ni kwa pande zote mbili kwa wapendao kitonga)
 
this should go out to men too, its a two way thing.. I mean what if the guy was the one with a good heart na nia njema kwa mrembo, kumbe mrembo ana umeme. they are obsessed with our money and we are obsessed with their bodies, sote tuache tamaa, tutapotea mchana kweupee

Kweli ni kwa wote lakini zaidi wanaume kwa sababu ndio wanaoanza kurusha ndoano. Hili ni darsa zuri sana kwa wanaojali.
 
HIZO MASTORY tunazjua saana na huwa tunakuwa na ndom za dharuraa ukikambwa ukamwambia akisema ni too late hawezi pata unavuta mkobaa unachomoa unamvalisha.... Alaaaah nani kanyaaboya now dys!
 
View attachment 320886

Amekuomba urafiki facebook.
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana
Ukajikwatua mwenyewe
Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema
Ukaweka na make-up na weave mpya.
Akakuchukua kwa ajili ya lunch Serena hotel
Akakuagizia na soft drinks
Mkawa na muda mzuri pamoja
Akakushika mkono
Akakufanya uwe unacheka muda wote kwa vituko vyake
Ukampenda
Ikawa kama umemjua kwa miaka
Akakuchukua kwenda kwake
Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake
Akakubusu kimahaba
Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri
Ukajisikia secure ukiwa nae
Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu
Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.
Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.
Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.
Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepata
Ukajihisi ni mwanamke special
Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.
Ukavaa nguo.
Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxi
Akakubusu katika shavu.
Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.
Akakupa Tsh 100,000. Ukatabasamu na kumwambia nitakuona kesho.
Akabaki kimya. Taxi uliyopanda ikaondoka.
Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu
Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.
Yupo online lakini hakujibu text yako
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!
Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa, mchovu, uzito umepungua na utando mdomoni
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima
Nusu saa baadae daktari anaingia.
Pole sana dada yangu daktari anakuambia.
Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile.
Mimba, HIV+????
HOW??
Hauelewi
Inakuumiza sana, hauamini.
Unaenda nyumbani.
Ukiwa na hofu kubwa.
Unaona kifo hichi hapa
Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.

SISTERS MSIWE KAMA HUYU, ISHI VIZURI, ACHA KUTAMANI MATERIAL THINGS. KUWA MWANAMKE AMBAE UNGEPENDA BINTI YAKO AJE KUWA HIVYO.

ISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU PEKEE NA SIO BINADAMU.

BINADAMU HAWANA DOGO.
ARV si zipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom