Mwanamke akiwa na tabia hizi, kwangu ni first disqualification

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,717
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao. Aisee dada zangu mnaotumia halafu wengine mnapost mpaka mtandaoni kama vile mnakula chakula mimi nimesha wa disqualify.

2) Mwanamke anapenda kupiga picha angali zaidi ya 90% ya body yake ipo wazi halafu anapost kwenye mtandao wa kijamii huyo hafai. Nimesema 90% ipo wazi ina maana 10% iliyofichwa na nguo ni hapo katikati na hapa juu sehemu nyingine zote wazi. Hapo utanisamee dada.

3) Kuna wengine unakuta wamejaliwa ila wakitembea utasema wanacheza 'full kujitingisha' mimi nikiona hivo ni first disqualification.

4) Tabia ya kujiachia sanaaa kwenye maeneo ya starehe kama club, beach na sehemu kama hizo za entartainment. Kuna ile kujiachia kawaida hiyo inaruhusiwa ila kuna ile unakuta demu every time anakuwa anazungumzia hayo maeneo zaidi ya kuzungumzia mambo yenye faida, huyo hafai. Unakuta girl most of the time ata kwenye picha zake yeye ni mtu wa ku relax tu na sun glass kubwaa halafu amelala kwenye kale ka kitanda cha beach.

5) Mwanamke mwenye marafiki wengi, unakuta girl ana marafiki kama 10 wa karibu. Labda kama ni mwanafunzi ila kama yupo uraiani mi naona kama ni tatizo. Naona kama itakuwa rais sana kumshawishi na kumbadilisha tabia. Kwa hiyo nikiona hivo ni 1st disqualification.

6) Mwanamke mbishi,
 
Katika ulimwengu wa roho na mwili ni vigumu kumkuta au kumpata mtu mwenye kukidhi matakwa yote ya nafsi yako kwani hakuna mkamilifu chini ya jua.....katika misingi ya kuwa hakuna mkamilifu ndio tunatakiwa kuvumiliana...kuheshimiana na pale tunapojikwaa bali tunapaswa kuelekezana.....inawezekana huyo unayemuepuka wa tabia hizo hajui madhara na hasara ya anayoyafanya na pengine angepata habari au taarifa za madhara au hasara za anayoyafanya pengine ungesaidia kubadili maisha yake badala ya kumkwepa na kumshusha thamani.....hata wewe umekuwa hivyo kutokana na kuwa katika mikono salama kimaadili......

It begin with you....
 
Tena mabinti wa siku hawajui hata kuficha makucha wiki tu unamjua tabia zake zote, Mimi binafsi sipendi mwanamke wa Maclub club, Mavurugu na nikikuona tu upo na hizo interest nagedua then Ndukiii.....!!
 
Nafikiri wewe umekariri...
sio kila mwanamke anaevuta sigara basi anashinda jukwaani

kuna wanawake wanavuta sigara na ni walimu wa vyuo huko...

unaweza kukutana na mwanamke anavuta bangi na usijue kabisa

msafi..mtulivu...anajiheshimu ....

karne ya 21 hii.....
 
Shyeeeh! hata me hio #7 watajiDISCO sana tu km hawakupata desa vile.
 
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao. Aisee dada zangu mnaotumia halafu wengine mnapost mpaka mtandaoni kama vile mnakula chakula mimi nimesha wa disqualify.

2) Mwanamke anapenda kupiga picha angali zaidi ya 90% ya body yake ipo wazi halafu anapost kwenye mtandao wa kijamii huyo hafai. Nimesema 90% ipo wazi ina maana 10% iliyofichwa na nguo ni hapo katikati na hapa juu sehemu nyingine zote wazi. Hapo utanisamee dada.

3) Kuna wengine unakuta wamejaliwa ila wakitembea utasema wanacheza 'full kujitingisha' mimi nikiona hivo ni first disqualification.

4) Tabia ya kujiachia sanaaa kwenye maeneo ya starehe kama club, beach na sehemu kama hizo za entartainment. Kuna ile kujiachia kawaida hiyo inaruhusiwa ila kuna ile unakuta demu every time anakuwa anazungumzia hayo maeneo zaidi ya kuzungumzia mambo yenye faida, huyo hafai. Unakuta girl most of the time ata kwenye picha zake yeye ni mtu wa ku relax tu na sun glass kubwaa halafu amelala kwenye kale ka kitanda cha beach.

5) Mwanamke mwenye marafiki wengi, unakuta girl ana marafiki kama 10 wa karibu. Labda kama ni mwanafunzi ila kama yupo uraiani mi naona kama ni tatizo. Naona kama itakuwa rais sana kumshawishi na kumbadilisha tabia. Kwa hiyo nikiona hivo ni 1st disqualification.

6) Mwanamke mbishi,
Mimi mwanamke anayeshabikia/mwanachama wa ccm.....hiki ni kigezo cha kupiga chini..
 
Tena mabinti wa siku hawajui hata kuficha makucha wiki tu unamjua tabia zake zote, Mimi binafsi sipendi mwanamke wa Maclub club, Mavurugu na nikikuona tu upo na hizo interest nagedua then Ndukiii.....!!

Wiki, mbona wewe unawapendelea? Mademu wa siku hizi dakika tatu tu za kula mishikaki utamjuwa tabia yake. Atapiga picha ya mshikaki, yako wewe na yeye na kujibandika fesibuku eti umemu-engage. Mtaanza kula mishikaki, yeye yuko bize na fesibuku na insta kujionyesha kwa wanaume wengine na washikaji zake. Wanawake wa kibongo ni full mzuka hata kwa msukule hawafai.
 
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao. Aisee dada zangu mnaotumia halafu wengine mnapost mpaka mtandaoni kama vile mnakula chakula mimi nimesha wa disqualify.

2) Mwanamke anapenda kupiga picha angali zaidi ya 90% ya body yake ipo wazi halafu anapost kwenye mtandao wa kijamii huyo hafai. Nimesema 90% ipo wazi ina maana 10% iliyofichwa na nguo ni hapo katikati na hapa juu sehemu nyingine zote wazi. Hapo utanisamee dada.

3) Kuna wengine unakuta wamejaliwa ila wakitembea utasema wanacheza 'full kujitingisha' mimi nikiona hivo ni first disqualification.

4) Tabia ya kujiachia sanaaa kwenye maeneo ya starehe kama club, beach na sehemu kama hizo za entartainment. Kuna ile kujiachia kawaida hiyo inaruhusiwa ila kuna ile unakuta demu every time anakuwa anazungumzia hayo maeneo zaidi ya kuzungumzia mambo yenye faida, huyo hafai. Unakuta girl most of the time ata kwenye picha zake yeye ni mtu wa ku relax tu na sun glass kubwaa halafu amelala kwenye kale ka kitanda cha beach.

5) Mwanamke mwenye marafiki wengi, unakuta girl ana marafiki kama 10 wa karibu. Labda kama ni mwanafunzi ila kama yupo uraiani mi naona kama ni tatizo. Naona kama itakuwa rais sana kumshawishi na kumbadilisha tabia. Kwa hiyo nikiona hivo ni 1st disqualification.

6) Mwanamke mbishi,
unambadilisha kjana, kama yupo tiyar kuchange mtamove on mpe muda wangap wameoa walevi au wameolewa na walevi wakaja kuchange? MPE muda at least one year awe hajardia tena ukitaka kwa mawazo yako inabd uchonge tu wa kwako
 
Nafikiri wewe umekariri...
sio kila mwanamke anaevuta sigara basi anashinda jukwaani

kuna wanawake wanavuta sigara na ni walimu wa vyuo huko...

unaweza kukutana na mwanamke anavuta bangi na usijue kabisa

msafi..mtulivu...anajiheshimu ....

karne ya 21 hii.....
very strong point kk amecrame maisha huyu pia MTU akipenda hua anakua radhi kuacha ujinga ilmrad moyo wake uridhike
 
Back
Top Bottom