Dawa ya kumridhisha mke kitandani yagundulika

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Salaam ndo jadi ya muugwana nami naanza nayo,

Habari zenu?

Kama kichwa kinavosema ndio hali halisi.Tanzania yetu hii imejaa kila kona waganga wa kienyeji na tiba asili wakijinadi kuwa na dawa ya nguvu za kiume ama kumridhisha mwanamke kumbe katika woote hamna mkweli hata mmoja mwenye ushahidi ajitokeze!

Tiba sasa imegundulika japo ni ya muda mrefu ila tulitiwa upofu, mimi mwenyewe ili nitokea nikaitumia ikanisaidia na sasa nataka ikusaidie. Lakini ni kwa wenye wake tuu.

Wiki iliyopita nilikua na mada iliyohusu kutofautiana na mke wangu akidai simrithishi na wala hafurahii tendo hivo ikambidi ajichue, iliniumiza sana niikauleta hapa nashukuru kwa baadhi ya wana forum wana akili.

Nashukuru tumelimaliza na sasa tunafura hatari maana shughuli inanoga usiku chumba hakitoshi, nasasa nataka kukamilisha mipango yetu ya sherehe ya ndoa yetu kubwa hatari(mtaiona kwenye magazeti)

Dawa ni nini?
Dawa ni mazungumzo ambayo yalitufanya tugundue tatizo liko wapi na kua tayari wote wawili kulitatua kwa maslai ya ndoa yenu na familia yanu. Haina haja ya kuchepuka ama kumuacha mwenzako sababu ya tendo la ndoa, ili mradi jogoo anawika basi jua wewe ni mwanaume kamili ulieumbwa kumridhisha mwanamke, na sisistiza hili hata kama eti wewe ni kibamia (japo sielewi ndo vipi) jua wewe ni mwanamume Mungu amekupa hiyo kitu kwa kazi yake hio na unaiweza kama utaiweka akili yako sawa hata goli sita utaenda (inategemea na life style yako).

Tatizo ni nini?
Waganga wa tiba asili ni watu wakuogopa kama shetani na moto wa jehanamu unawasubiri, kwa ushuhuda wengi wamedanganywa na kupoteza pesa nyingi na wengine wameambukizwa amakutengenezewa hili tatizo bila kujijua kupitia yale madawa yao ama njia kubwa na inayowaharibu wengi nikuwasikiliza matangazo yao kwani hua yanaenda kwenye ubongo moja kwa moja nakuharibu ujasiri wa tendo kwakujishtukia labda upochini ya kiwango na hivyo kukufanya ufeli kumridhisha mwanamke (mkeo).

Hatari zaidi!
Wanaume wengi sasa wameamia kwenye konyagi na viroba au pombe kali kwa ujumla ili tu amridhishe mwanamke baada ya kuona hayo madawa hayajamsaidia au yanagharama sana. Hii ni hatari zaidi na ndilo kaburi lako.

Suluhisho:
Epuka matangazo ya nguvu za kiume au za kike popote yalipo usiyasikilize wala kuyasoma na kuyaangalia ili yasiingie akilini. Zungumza na mpenzi wako mkubaliane ni vipi mtafurahia faragha yenu kila mmoja asisite kumueleza mwenzake tatizo lake ili walitatue.
Hapo mtakua mmemaliza tatizo bila gharama na mwanamume atakurijali kweli kweli na mwanamke pia.

Muhimu: Kila mwanadamu kaubwa kwa ubora ndo maana unaweza kuta mlemavu mfanyabiashara ama kazi anayejituma na aliyekamilika omba omba. Amini katika ulivo navyo!

Ahsanteni

Happy family again and fore ever!
 
Dawa ya kumlidhisha mke yagundulika au umeigundua?? Na kwa iyo thiredi yako ongezea neno 'mke wangu'
 
:eek:;) mm nikafikiri labda ni Dr. Mwaka kaja kwa huku Jf nkawahi kufuñgua bandiko, kumbe ni weye..!!!
BTW gud job mkuu
 
Kwaiyo yale maji ya mchele niliyokwambia umeyapuuza? Unapiga bao ngapi? Subiri kakianza kulegea utakavyorudi hapa mbio unaomba ushauri kwa id mpya. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom