Habari wana jukwaa....
Kwanza naomba niweke wazi kuwa mimi nimeoa na nina watoto kadhaa. Na mke wangu sio mbaya sana, ana umbo zuri tu japo sura ndo hakujaaliwa. Amefanana na baba yake (nahisi...
habari wana JF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36,nina mtoto mmoja wa miaka 6 natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mke wangu.Mimi ni mfanyabiashara nina kipato cha kawaida kuendesha maisha...
Habari,
Namshukuru Mungu tatizo langu limekwisha, nitajitahidi kuwa muangalifu ili nisipatwe tena na shida kama hii, nilijikuta nimechanganya nikakutana na rafiki yangu siku hiyo hiyo...
Kuna somewhere nilienda kucheki issue Fulani, fortunately nikakuta kumbe ni sehemu majirani zangu tuliotoka wote kijijin huwa wanakaa so tukasalimiana and so on.
Among them kulikua na one girl...
Habari wanajamvi.
Kwanza ningependa nianze kwa kutoa shukrani kwa rubii atoto cute b na Heaven Sent kwa support wanayonipa kwenye hii biashara..Mbarikiwe sana
Nimedumu kwenye biashara hii kwa...
Wakuu habarini za jumapili.
Leo napenda kuzungumzia suala la mtu ku pretend na kutaka kuonekana katika jamii kwamba ni mtu fulani smart lakini anachokionyesha yeye hayuko hivo hata kidogo .
Suala...
I greet you all my elders(wakuu)
Walengwa ni wanaume ambao wana uhusiano wa msichana mmoja(sio ndoa)
wanaonana mara moja kwa wiki siku za week end,kama jumamosi/jumapili.
Kuna wadada...
Naomba kuwauliza hivi hiki kipindi kipya kiitwacho GIRL TALK kinachorushwa na Star tv kina maudhui gani au kimewekwa kwa maana gani? Kiukweli ninayoyasikia katika hiki kipindi nadhani ni...
CHAGUA MOJA ,
Unaweza kuwa mtu mmoja tu kati ya watu hawa wawili.Huwezi kuwa wote wawili, au huwezi kuwa katikati, ni moja tu.Unaweza kuwa mtu mwema au unaweza kuwa mtu mbaya.Unaweza kuwa...
ONDOA HOFU AKILI YAKO ELEKEZA KWENYE KILE UNACHOWEZA KUKIFANYA KIUFASAHA
Unajua ili ufanikiwe ni lazima uweze kufanya mambo makubwa, ambayo hujawahi kuyafanya kwenye maisha yako. Kwasababu...
INGEKUWA KUWEKA MIPANGO TU NDIO KUFANIKIWA BASI KILA MTU ANGEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA SANA
Kila mtu anaweka mipango mizuri sana, yaani sana.Lakini mipango hii haijitekelezi yenyewe, unahitaji...
Yeye na mumewe siwaherewi ! siku moja nilimuona mumewe katoka chooni akaenda kwenye malango wa chumba changu akajifuta miguu yake kwenye zuria langu la mlangoni alivyo maliza akaenda chumbani...
Nimegundua mwanamke Ninayetaka kumuoa ni mpenziwa rafiki yangu na hawajaachana bado, tayari nimeshatoa mahari,na taratibu zote za kuoa zinaendelea sasa nifanyeje?
Kuna wakati watu wakiwa kwenye umri wao wa ujana hudhani kwamba kuna mfanano kwenye kupenda. Kiuhalisia hakuna mfanano katika kuyatafsiri mapenzi. Kuna watu wanajua kabisa kama wapenzi wao...
Habari za siku kidogo wakuu,
Leo nimeamka nawaza hapa kuna jambo linanitatiza
(Ni kama miezi 8 toka nilivyofahamiana na kaka mmoja tulikutana katika kazi akanipenda
Ila mimi sikumpenda kiviile...
^^
Dunia inazidi kujawa idadi ya watu.Miongoni mwa mabilioni ya watu hapa duniani si ajabu kuna watu wanalia usiku na mchana kwa kukosa mwenza wa maisha.Kuna wanawake wa kila namna nje wanacheka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.