BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
I greet you all my elders(wakuu)
Walengwa ni wanaume ambao wana uhusiano wa msichana mmoja(sio ndoa)
wanaonana mara moja kwa wiki siku za week end,kama jumamosi/jumapili.
Kuna wadada descent ambao wanaishi
na wazazi au ndugu,upatikanaji wao ni mpaka ramani isome nyumbani,huku kidume umeshajipanga unajua unaenda
Bagamoyo karibu na kwa mstaafu mkale
bata.kisaikojia umeshajiset kupiga mechi
mara mdada anakupa sound,hiyo ni mpaka wiki ijayo ramani isome tena!
Hapo ndio unakuja umuhimu wa plan
B Ili uweze kubadilishia gia angani na kuepuka matatizo ya kupunguza stress
za wiki nzima.kwa hiyo ukikomaa na
dame wa aina hiyo mmoja jiandae kwa
ratiba yako ya week end kuwa messed
up.
usipojipanga vizuri na kuwa na kifaa cha reserve unaweza kujikuta umeangu
kia Sinza Afirika Sana na kujuutia kuwa
mwanaume wa sokoni na kujidhalilisha
PR Yako yote.
hili swala linaweza lisieleweke kwa wasiowahanga wa hii ishu,lakini lipo na ni muhimu kuwa na usajili wa namba mpya kuepuka kuanza week na stress.
pia sio sheria kuwa lazima ufuate. just
my opinion.
Ni hayo tu