Welelo
Member
- Feb 6, 2016
- 23
- 3
habari wana JF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36,nina mtoto mmoja wa miaka 6 natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mke wangu.Mimi ni mfanyabiashara nina kipato cha kawaida kuendesha maisha yangu elimu yangu ni ya ngazi ya chuo.
Vigezo vya mke nimtakae:Awe na elimu ya kiwango chochote
Umri kuanzia miaka 34 na kuendelea
Asiwe mnene sana awe na umbo la kawaida
mwelewa na ambae anafikiria juu ya familia na si vinginevyo.
yeyote atakae kuwa interested plz ni PM.