Mdada unayeitaji mchumba, usiache kutizama hapa

Mdada unayeitaji mchumba, usiache kutizama hapa

stivii

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
222
Reaction score
144
Mimi nikijana wa kitanzania naishi DAR ES SALAAM najitokeza kutafuta Girlfriend atakae kuwa mke wangu ikibidi. plz aliye tayari naomba tuwasiliane niko serious sitanii .
SIFA ZANGU
UMRI: MIAKA 30
ELIMU: CHUO KIKUU (M.A)
DINI: MKRISTO
KIMO: MREFU


SIFA ZA NINAYE MTAFUTA
UMRI: 20-29
DINI: MKIRISTO
UMBO: LA KAWAIDA
ELIMU: AWE SECONDARY NA KUENDELEA
RANGI : YOYOTE
MAKAZI: DSM
AWE mpole,anayeenda na wakati, mrembo,mwenye hofu ya Mungu na anayeishi maisha yake(mimi sio judgemental)
Kwa aliye tayari naomba tuwasiliane kwa Pm

au email mathiassteve1@gmail.com

Mdada ukishamaliza kunisoma,karibuni kwa mawasiliano....Nimeupdate for the last time

natanguliza shukrani
 
Akinenepa zaidi kwenye mahusiano utamwacha?...it happens. ..

Mwanamke uliempenda ukaishi nae ndani for life,ata akatike mikono thamani yake haipungui ata.
 
Unene ni physical change sasa sijui akiridhika na maisha akawa kifutu itakuaje hapo
 
Back
Top Bottom