Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,870
- 34,357
Hahhahahaaaa MziziMkavu hii ni kali ya weekend
Na watazidi kutuona waongo maana ukweli hawautakiHayo yapo sana... na mwingine anakuambia kabisa mimi mwanaume masikini hata simtaki... sitaki shida kabisa...
Kidume unajiukuta unaanda kamusi ya uongo ili utimize matakwa yako tu...
Kuna mwanamke mmoja anacheo fulani hivi... na ni mzuri ni mzuri sana... yeye kila niki chat nae ni story za maisha fulani hivi ya gharama... kila nikimtongoza anapotezea.... siku akataja udhaifu wake kwamba yeye anapenda sana gari inaitwa Murano yani akiiona dah anapagawa kabisa...Na watazidi kutuona waongo maana ukweli hawautaki
Kuna mwanamke mmoja anacheo fulani hivi... na ni mzuri ni mzuri sana... yeye kila niki chat nae ni story za maisha fulani hivi ya gharama... kila nikimtongoza anapotezea.... siku akataja udhaifu wake kwamba yeye anapenda sana gari inaitwa Murano yani akiiona dah anapagawa kabisa...
Ikawa point ya ushindi kwangu... nikabadilishana gari na rafiki yangu kwa siku tano tu... akanipa Murano yake... nikamfanyia suprise ya kumfuata kazini nimrudishe kwake.. kwa Murano ya kuazima...
Mbona tulimalizana siku ile ile...
Kweli hii digital
Unapenda ufwetere... hahahaha....Jamani not fair.....
Hiyo ni tabia mbaya.....
Mie niko hivi.... napenda raha ila sikwambii kama hunisomi basi utabaki kusema ninamambo ya kitoto au ya kizamani.
Kuna utundu flani hivi ndo ulevi wangu vingine material tuu
Hebu malizia, alipogundua murano uliiazima na ushamkula ilikuwaje?
Unapenda ufwetere... hahahaha....
Mpaka kesho anaamini nimenunua gari nyingine... akawa hachomoi tena... kila nikikutana nae nipo nalo... si nafanya kubadilishana tu na rafiki...
Kwa hiyo Murano, ukijumlisha na uzoezi wangu kwenye 6*6... napiga navyotaka... lakini mimi na yeye wala hatujakubaliana kuwa wapenzi...
Hata wewe nikiwa na interest na wewe, lakini ukawa unazingua, na nikaja jua weakness yako.... nakung'oa chap chap...
Mie napenda magari ila sio awe nalo mwanaume ili nimpende au aninunulie au anipe la hasha. Napenda magari niwe nalo na niwe naliendesha. Rejea uzi wangu wa catch me if you can....
I bet you Kasie hata ujue weakness yake kumpata kila unapotaka ni yeye a take na si maujanja yako.... wallah tena nakuapia. Labda nikikuona tuu nikuzimie mimi hapo utanipata kiulaini sasa sijui utajibadilisha muonekano......
Hahahah... Safi unavyojiamini..
Lakini hayo maneno tu hata kwenye mabango yapo...
Bango kuubwa "Ni marufuku kufanya biashara eneo hili amri" lakini unakuta vibanda kibao na biashara zinaendelea...
Napoamua, nikitia nia, i put all my concentration on you... humalizi miezi... nakuong'oa... iwe kiulaini au kwa taabu...
Vyoo yote vile. ... ila mie nakwambieje. ..... Kasie ni namba ingine nina vijana balaa na ukija na speed yako ya ferrari mwenyewe utanyoosha mikono juu. Kwa sababu wengi wamebaki wanasema sizitaki mbichi hizi kumbe wameshindwa kurukia na kuisikia.
Si kuwa nafanya promo au najipigia debe la hasha niko hivo..... ila mie ni mbishi na bado ninabisha hata u concentrate kama unasoma vijidudu vya malaria kwenye microscope (sijui ndo inaitwa hivyo) kama sijaamua hunipati ng'oo hata ujue udhaifu wangu.
Kasie.
kweli mkuu ukishajua udhaifu wa mwanamke kushneiHahahah... Safi unavyojiamini..
Lakini hayo maneno tu hata kwenye mabango yapo...
Bango kuubwa "Ni marufuku kufanya biashara eneo hili amri" lakini unakuta vibanda kibao na biashara zinaendelea...
Napoamua, nikitia nia, i put all my concentration on you... humalizi miezi... nakuong'oa... iwe kiulaini au kwa taabu...