Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,844
- 39,577
Kuna wakati watu wakiwa kwenye umri wao wa ujana hudhani kwamba kuna mfanano kwenye kupenda. Kiuhalisia hakuna mfanano katika kuyatafsiri mapenzi. Kuna watu wanajua kabisa kama wapenzi wao wanafanya kazi ya uchangudoa na bado wako nao na wao wanadai wanapendana.
Wengine wakiwafumania wenza wao mapenzi yanavunjika, lakini wengine wakifumaniana wanarekebisha wanasonga mbele.
Wengine wanadhani kupendwa ni kununuliwa zawadi, wakati wengine mapenzi kwao ni ngono. Hoja yangu asije mtu kukufundisha kwamba haya ndiyo mapenzi, penda kwa jinsi hisia zako zinavyokuonesha kwamba haya ndiyo mapenzi!
Hakuna mapenzi ya kiulimwengu